Tupe Minutes ya kikao kilichobadilsha hiyo agenda ya Mbowe kutokana na hiyo prevailing situon yako. Tupe hata tarehe ya Kikao hicho cha Kamati Kuu ya CDM, minutes najua hutoweza kupata wewe kapuku wa kawaida hapo getini kwa MboweMawazo hubadirika with time and the prevailing environment at that time!
hao gorrilas55 baada ya kuonyeshwa shamba la mahindi na kijani ndo wameanza kukurupuka walikuwa wapiG55 Wana akili kubwa kuliko wanaCHADEMA waliobaki
Wanaomuamini watakua na udumavu wa fikraNawaonea huruma sana wanaomuamini huyu chawa Retired humu jamvini. Huyu ndo papasi zenyewe zinazofanya udalali kupitia siasa
Unajua huo ulikuwa mtego wa Mbowe kupata hela maana anagekuwa Mwenyekiti angefanya maongezi uchwara na CCM na kuvuta miamalq!Walikuwa wanabipu Lisu amepiga moja kwa moja.
MREMA alikuwa anajua ni utanii sababu Mbowe ni dalali.
Sasa hawaamini macho yao Lisu amenyooka nayo kama rula
Hivi Kigaila naye yuko kwenye G 55 ?Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe
View attachment 3294979
Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi?
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Benson Kigaila alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara na John Mrema akiwa Mkurugenzi wa Mawasiliano!
Asali ni tamu halafu utamu wake haushi kikikikihao gorrilas55 baada ya kuonyeshwa shamba la mahindi na kijani ndo wameanza kukurupuka walikuwa wapi
Wamepiga hela za watu lazima waliwe vichwa, vinginevyo lazima watoke hadharani kwa kujitoa ufahamu, a.k.a kujizima data, vinginevyo pyuuu pyuuu inawahusu, kikikikiG55 wameumbuka
Hahaa hawez kurudi tena huyu tapeli mkuuNi kweli, ila fuata tatatibu husika ndani ya chama ili ubadili huo mtizamo na msimamo mliouweka mwanzo.
Wameula wa chuya sasa watafute pa kutokea!Kila siku watu wanaambiwa acheni uchawa hawasikii. Haya sasa watu wazima wanaadhirika huko CHADEMA wameamua kujitoa ufahamu na kukana msimamo wa chama wakati walikuwa sehemu ya maamuzi. Inaonekana hao G55 walikuwa wakiendesha maisha yao kupitia chama sasa kitendo cha kuingia Lisu na kunyoosha mambo jamaa njaa imewaingia sasa ndio hiyo nitoke vipi wameamua kujitoa ufahamu.
Mkuu, kama yupo kwenye kundi hilo linalo shinikiza uchaguzi, basi hata watoto wake wata mdharau.Hii nchi imejaa matapeli
Kabisa mkuu, aibu naona mimi.Hii nchi imejaa matapeli
lopo lopo Lisu, linaropoka tu. kulikuwa na haja gani ya kuitisha conference kuzungumzia mambo ya Tigo! sasa wamebadiri jina (ingawa....) kuropoka tu, kujiona he is supreme
G55 Wana akili kubwa kuliko wanaCHADEMA waliobaki
Wale Kenge55😅😅Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe
View attachment 3294979
Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi?
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Benson Kigaila alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara na John Mrema akiwa Mkurugenzi wa Mawasiliano!
Ndio hawa hawa K55. Usipoteze muda wakoChuki uliyonayo kwa Lissu itakumaliza mwenyewe. Mwenzako yupo field anafanya kazi aliyotuma.
Ccm naona mmelivalia njuga😅G55 Wana akili kubwa kuliko wanaCHADEMA waliobaki