Paskali Mayalla msikilize huyu ni wakati wa Mbowe. Hii ni kusaidia ule upotoshaji wako kwenye uzi wako usemao ni ushauri kwa cdm.Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe
View attachment 3294979
Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi?
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Benson Kigaila alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara na John Mrema akiwa Mkurugenzi wa Mawasiliano!
Mkuu acha kabisa kupunguza ukali wa maneno. Sio kimewauma bali sema njaa ndio imewauma kisawasawa na hakuna kazi nyingine yoyote wanaweza kufanya ili waendeshe maisha yao. Ndio maana wamejitoa ufahamu. Na wengine kati yao nyumbani wanaitwa baba/mama au mke wangu/mume wangu halafu wanakuja na ajenda za kitoto kabisa mbele ya "media". Haki ya Mungu aibu naiona mimi kwa vitendo vyao wanavyofanya..Sio akili kubwa ni hasira za kupigwa Chini kwenye uchaguzi wa chama. Kitendo Cha Lissu kumstaafisha Mbowe siasa kimewauma Sana.
Nadhani G55 washauri tathmini ifanyike upya kuona tija kisha lirudishwe kwenye vikaoIt was a wrong footing!!!
Wameomba msamaha kwa kutu mislead? Inahitajika akili ya mwendawazimu kumtetea Kigaila na Mrema kuhusu hi NRNE, lazima uwe kichaa hasa kuwaelewa hawa watuMawazo hubadirika with time and the prevailing environment at that time!
Mnateswa na Abdul project.Mawazo hubadirika with time and the prevailing environment at that time!
Lissu anajua kuharibu ugali wa watu😂Sasa hivi Kigaila yuko wapi? Kaufyata
Kuchumiq TumboMawazo hubadirika with time and the prevailing environment at that time!
Hawa jamaa ni wanafiki sana, alichokiasisi Mbowe kilikuwa sahihi 100%Kuchumiq Tumbo
Kwa sababu wanajua Mbowe alikisema kama Utani ila Lissu anakisema kwa KuamuaHawa jamaa no wanafiki sana, alichokiasisi Mbowe kilikuwa sahihi 100%
Akikisimamia na kukiendeleza Lissu sio sahihi...kweli?
Hii ni akili ya wapi?
Kuna project zilianzishwa na FM zenye malengo mahususi za kipigaji.Kwa sababu wanajua Mbowe alikisema kama Utani ila Lissu anakisema kwa Kuamua
kichaa kama wewe! wewe ni kichaa kama huwezi kuona kuwa with time things change according to needs at that particular point in time..Wameomba msamaha kwa kutu mislead? Inahitajika akili ya mwendawazimu kumtetea Kigaila na Mrema kuhusu hi NRNE, lazima uwe kichaa hasa kuwaelewa hawa watu
Hawezi kuisikiliza na kuiandikia makala sababu atakuwa amejipiga kanzu.Paskali Mayalla msikilize huyu ni wakati wa Mbowe. Hii ni kusaidia ule upotoshaji wako kwenye uzi wako usemao ni ushauri kwa cdm.
Haya maandishi umeandika ukiwa na akili timamu kabisa? Kina Mrema na Kigaila ndio walisema hicho kitu, wewe unabishana nao tena? Au walikua wanasema kujifurahisha? Ni mwehu pekee yake ndio anaweza kuwaelewa na kuwatetea kina Kigaila na Mrema. Waanzilishi wa hiyo NRNE ni wao, wakainadi vizuri kwa msisitizo mkubwa, wakaungwa mkono na wananchi, Lissu na timu yake wanatembelea road map iliochorwa na wao, wao tena hawaitaki? Stupid. Walitakiwa kuomba msamaha kwa kutu mislead ndio waseme wanacho kisema sasa. Internet never forget, once it's on the internet then it is out of your control.Ni kichaa pekee kama wewe unayedhani watanzania , proletariats wanaweza kuingia barabarani kuzuia uchaguzi on that voting day
Fine umeandika vizuri ingawa umetumia lugha ya matussi./lugha ngumu.. Mawazo/mbinu/strategies hubadilika kulingana na wakati, mahitaji availale resources and many other factors!Haya maandishi umeandika ukiwa na akili timamu kabisa? Kina Mrema na Kigaila ndio walisema hicho kitu, wewe unabishana nao tena? Au walikua wanasema kujifurahisha? Ni mwehu pekee yake ndio anaweza kuwaelewa na kuwatetea kina Kigaila na Mrema. Waanzilishi wa hiyo NRNE ni wao, wakainadi vizuri kwa msisitizo mkubwa, wakaungwa mkono na wananchi, Lissu na timu yake wanatembelea road map iliochorwa na wao, wao tena hawaitaki? Stupid. Walitakiwa kuomba msamaha kwa kutu mislead ndio waseme wanacho kisema sasa. Internet never forget, once it's on the internet then it is out of your control.
Chawa wa mbowe 😂😂Mawazo hubadirika with time and the prevailing environment at that time!
Kama hizo ndio sababu (za Watanzania kutokua tayari kwa maandamano etc kama usemavyo) then hawa kina Kigaila na Mrema, hawana UDHU wa kupinga jambo walilo liasisi kwa msisitizo wao wenyewe. Yaani leo hi Yesu au Mohammed waje duniani kupinga kile kile walicho kihubiri na kuwaaminisha watu, wamepatikana wengine wa kusimamia kile kile walicho kihubiri. We huoni kama ni kituko bro? Ndio maana nikasema, "inatakiwa kua na akili za mwendawazimu kuwatetea Mrema na Kigaila" injili inayo hubiriwa na Lissu with his team, ndio hiyo hiyo walioiasisi wanao ipinga sasa hvi. Hawa hawaaminiki anymore.Fine umeandika vizuri ingawa umetumia lugha ya matussi./lugha ngumu.. Mawazo/mbinu/strategies hubadilika kulingana na wakati, mahitaji availale resources and many other factors!
Wewe unadhani kuna mtanzania wa kuhimili risai? Maana ukithubutu utakumbana na polisi na may be JWTZ....kuna mtanzania wa kuwakabiri? If no, then NR/NE itatekelezeka?
Ni rahisi kuwa mobilize watu wako kituoni wakahakikisha hakuna kuiba kura.... wanaweza kummudu polisi mmoja/wawili! does that make sense?
FINALLY
Strategic thinking and the strategies developed are inherently dynamic, adapting to changing needs and the resources available at a given time. This flexibility is crucial for effective problem-solving and achieving desired outcomes.
Makwizi Band bandi ndiyo maana nimemalizia na sentensi hii:Kama hizo ndio sababu (za Watanzania kutokua tayari kwa maandamano etc kama usemavyo) then hawa kina Kigaila na Mrema, hawana UDHU wa kupinga jambo walilo liasisi kwa msisitizo wao wenyewe. Yaani leo hi Yesu au Mohammed waje duniani kupinga kile kile walicho kihubiri na kuwaaminisha watu, wamepatikana wengine wa kusimamia kile kile walicho kihubiri. We huoni kama ni kituko bro? Ndio maana nikasema, "inatakiwa kua na akili za mwendawazimu kuwatetea Mrema na Kigaila" injili inayo hubiriwa na Lissu with his team, ndio hiyo hiyo walioiasisi wanao ipinga sasa hvi. Hawa hawaaminiki anymore.