Mbona hawajatoka ofisini muda mrefu hivyo? Wametoka miezi miwili tu iliyopita, kwanini hawakutolea huo ufafanuzi wakati huo?Makwizi Band bandi ndiyo maana nimemalizia na sentensi hii:
FINALLY
Strategic thinking and the strategies developed are inherently dynamic, adapting to changing needs and the resources available at a given time. This flexibility is crucial for effective problem-solving and achieving desired outcomes.
Kwa sasa yupo huko.Huyu jamaa ni akili kubwa hawezi kuwa G55 kwa wahuni
ππππππHii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe
View attachment 3294979
Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi?
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Benson Kigaila alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara na John Mrema akiwa Mkurugenzi wa Mawasiliano!
Hahaahaaa, Hawa G55 wameonesha uchawa wao. Asante Dr Lwaitama.Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe