Huko ndio ofisini kwake?Anaongoza akiwa hukohuko
Work from homeHuko ndio ofisini kwake?
Yuko bize mpk Odinga&wenzake wa E/Africa simu zao hazipolewi huku Ramaphosa akiambiwa Only TEXT,hahah.FYI rais yupo kazini 24/7. Baada ya kumaliza kazi ya mwaka mzima kata kabla ya kikao cha budget imemlazimu kupumnzika na kupanga mkakati wa 2020/21 maana kazi aliyofanya si haba. Anasubiri Bunge liishe aanze kufanya kazi ambayo inategemewa na Watanzania kusafisha waporaji na kuwawezesha Watanzania. Good work and continue to show every Tanzanian how is done.
Yuko bize mpk Odinga&wenzake wa E/Africa simu zao hazipolewi huku Ramaphosa akiambiwa Only TEXT,hahah.
Nafuu ya mbowe anaongoza kwa video conference.magufuli hata simu hapokeiBavicha mna kazi kweli kweli!
Jana nilimuona Mbowe akiongoza kikao cha kamati kuu kutokea sebuleni kwake sikushangaa!
Kwahiyo magufuli anafuata ushauri wa Chadema wa kukaa nyumbani?Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?
Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.
Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arudi ikulu anawatesa Askari polisi huko kijijini kwake.View attachment 1446954chapa kazi
Hahah ameshapanika tayari.Odinga ndio nani? Wenzake kina nani? Do you what you are talking about? Au unaropoka tu?
Watanzania ni wakati wa kuamka
Usiwe Kama juha hii mada imeletwa na upinzani?Tunaacha kujadili issues za maana tunajadili Rais hayupo ikulu?
Upinzani umekosa hoja za msingi na CCM wameshajua udhaifu huo wataendelea kututengenezea vya kujadili.
Juzi MAKONDA katutengenezea hoja akina Lissu na Zitto nao wamekuwa mazuzu - wako busy kujibizana naye.
Hivi UPINZANI huu tuseme aliyekuwaga makini ni Dr Slaa tu?
Hali halisi ndio Kama unavyojioneaKiusalama hii imekaaje kwa Amri Jeshi Mkuu wetu, maana IKULU inakuwa imejengwa kwa kuzingatia haya mambo ya ulinzi na usalama. Kule chato si ni nyumba tu ya kawaida ya binafsi.!!
Kama mnavyojua Rais ni taasisi sasa hao wasaidizi wake, walinzi nk inakuwaje wanavyoishi pale home.
Chadema ndiyo wameigaKwahiyo magufuli anafuata ushauri wa Chadema wa kukaa nyumbani?
Sukari kilo moja elfu 7 leoNaona Bavicha hili lishakuwa jukwaa lao la kupunguzia jazba na stress za mwenyekiti Mbowe [emoji23]! Kazi kutukana watu na kuhoji mambo ya ajabu ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu na maisha yake na yeye ni mtanzania anaruhusiwa kuishi popote kwani mpaka leo kuna pengo gani katika nchi?? Mbona nchi inakwenda?? Mtu kwao bana muache ale vya nyumbani lakini kumbuka kwa shujaa kilienda kilio na kwa muoga kilienda kicheko hahaaDunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Arudi ikulu anawatesa Askari polisi huko kijijini kwake.