Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Nasikia katoka chato kahamia BURIGI madai yake anaikwepa Corona
 
Baraza la mawaziri anafanyia kijijini kwao chato kwenye nyumba ya marehemu Babu yake.
 
FYI rais yupo kazini 24/7. Baada ya kumaliza kazi ya mwaka mzima kata kabla ya kikao cha budget imemlazimu kupumnzika na kupanga mkakati wa 2020/21 maana kazi aliyofanya si haba. Anasubiri Bunge liishe aanze kufanya kazi ambayo inategemewa na Watanzania kusafisha waporaji na kuwawezesha Watanzania. Good work and continue to show every Tanzanian how is done.
Yuko bize mpk Odinga&wenzake wa E/Africa simu zao hazipolewi huku Ramaphosa akiambiwa Only TEXT,hahah.
 
Yuko bize mpk Odinga&wenzake wa E/Africa simu zao hazipolewi huku Ramaphosa akiambiwa Only TEXT,hahah.

Odinga ndio nani? Wenzake kina nani? Do you know what you are talking about? Au unaropoka tu?

Watanzania ni wakati wa kuamka​
 
Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?

Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.

Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo magufuli anafuata ushauri wa Chadema wa kukaa nyumbani?
 
Odinga ndio nani? Wenzake kina nani? Do you what you are talking about? Au unaropoka tu?

Watanzania ni wakati wa kuamka​
Hahah ameshapanika tayari.

Vipi bado logistic problem inasumbua pande hizo?
 
Tunaacha kujadili issues za maana tunajadili Rais hayupo ikulu?
Upinzani umekosa hoja za msingi na CCM wameshajua udhaifu huo wataendelea kututengenezea vya kujadili.
Juzi MAKONDA katutengenezea hoja akina Lissu na Zitto nao wamekuwa mazuzu - wako busy kujibizana naye.
Hivi UPINZANI huu tuseme aliyekuwaga makini ni Dr Slaa tu?
Usiwe Kama juha hii mada imeletwa na upinzani?
 
Kiusalama hii imekaaje kwa Amri Jeshi Mkuu wetu, maana IKULU inakuwa imejengwa kwa kuzingatia haya mambo ya ulinzi na usalama. Kule chato si ni nyumba tu ya kawaida ya binafsi.!!

Kama mnavyojua Rais ni taasisi sasa hao wasaidizi wake, walinzi nk inakuwaje wanavyoishi pale home.
Hali halisi ndio Kama unavyojionea
tapatalk_1589223868273.jpg
 
Magufuli angenisikiliza japo Mimi mtu mdogo lkn namshauri asigombee Urais tena,,akapumzike !! Kila nikilala namuotea mambo mabaya kumkuta akiwa madarakani!!! Nakupenda sana mzee Magufuli kama ni historia ushaandikwa!!

Mimi ni pacha ndoto zangu huwa zinanitisha maana asilimia 90% huwa zinakuwa kweli!! Mzee wangu kapumzike,,,narudia tena kapumzike mzee wangu.
 
Dunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu na maisha yake na yeye ni mtanzania anaruhusiwa kuishi popote kwani mpaka leo kuna pengo gani katika nchi?? Mbona nchi inakwenda?? Mtu kwao bana muache ale vya nyumbani lakini kumbuka kwa shujaa kilienda kilio na kwa muoga kilienda kicheko hahaa
 
Back
Top Bottom