Poa kamanda tuendelee kudiscuss Rais kajificha CHATO. after all kwani tuna nini cha maana kujadili awamu hii?Usiwe Kama juha hii mada imeletwa na upinzani?
Busiba kapata bwana wa Kikongo . Fedha ya kodi inatumika kwenye ujunga kama huu.Odinga ndio nani? Wenzake kina nani? Do you know what you are talking about? Au unaropoka tu?
Watanzania ni wakati wa kuamka
Si ndo apo watu wanaanzaje kuteseka mbona mwl Nyerere alikua anachapa zake kazi msasani.nyumbani raha jamani ..mwacheni anajikumbushia enzi za utoto ilivyokuwa ..kwanini mteseke na wakati yupo nyumbani...
Wanatapatapa tu bila hoja za msingi eti sijui fulani nini ninachompendea Rais wangu yupogo really haigizagi.Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?
Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.
Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anamimiwa sifa kibao wakati anajulikana kwa incompetenceCHARITY BEGINS AT HOME.
Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...
Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.
Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato
View attachment 1446876
Dunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda yuko hoi coronavirus haikimbiwi ingawa Kabudi amesharudi na mkorogo huenda usisaidie maana lazima ufanyiwe utafiti. Baada ya siku 14 tutapata matokeo ya ile dozi ya kuonja aliyobugia Kabudi kule Madagascar. "Ya Leo Kali" maneno ya mtalaam baada ya kuonja kangara kilabuni, Dodoma. Angetumwa Musukuma!nasikia hapokei simu za wenzake
Siku hizi hata kuota vitu kama hivyo ni marufuku mkuu,Lema aliwahi kuota ile ndoto ikamfikisha police.Magufuli angenisikiliza japo Mimi mtu mdogo lkn namshauri asigombee Urais tena,,akapumzike !! Kila nikilala namuotea mambo mabaya kumkuta akiwa madarakani!!! Nakupenda sana mzee Magufuli kama ni historia ushaandikwa!!
Mimi ni pacha ndoto zangu huwa zinanitisha maana asilimia 90% huwa zinakuwa kweli!! Mzee wangu kapumzike,,,narudia tena kapumzike mzee wangu.
Sijawahi ona mtu mwoga wa kifo kama huyu msukuma. Kuna watu wanaogopa kufa jamaniDunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa kazi wanataka Per diem ,ndio maana wanamsumbua mzee, wakikaa dar hakuna ela wanaishi kwa kutegemea mshahara tu, bora wakae chato, sasa wamempeleka kisiwani, nako atakaa huko siku 30, akitoka hapa ataenda kisiwa kingine, halafu ataanza likizo ya kustaafuMfano msafara watu 100 x 120,000 x 45 =540,000,000 nje na mafuta, entertainment n.k, hatari sana. Najaribu kuwaza sina uhakika ni mfano.
Vijana wa kazi wanataka Per diem ,ndio maana wanamsumbua mzee, wakikaa dar hakuna ela wanaishi kwa kutegemea mshahara tu, bora wakae chato, sasa wamempeleka kisiwani, nako atakaa huko siku 30, akitoka hapo ataanza likizo ya kustaafuMfano msafara watu 100 x 120,000 x 45 =540,000,000 nje na mafuta, entertainment n.k, hatari sana. Najaribu kuwaza sina uhakika ni mfano.
Hatukumchagua ili akae nyumbani., wengine wote hawalipwi mshahara kwa kukaa nyumbani.
Raisi wetu amekuwa Kungwi wa kukaa ndani wakati maradhi yakiliteketeza taifa
Kiutani utani mtu unaweza kwenda mahali usirudi... Ukatokomea kabisa huko ujueCHARITY BEGINS AT HOME.
Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...
Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.
Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato
View attachment 1446876