Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Odinga ndio nani? Wenzake kina nani? Do you know what you are talking about? Au unaropoka tu?

Watanzania ni wakati wa kuamka​

Busiba kapata bwana wa Kikongo . Fedha ya kodi inatumika kwenye ujunga kama huu.
 
Tuombe tu asije kukuta wajeda "wamekwisha itaifisha" Ikulu al- maarufu kama "Coupé de dat!!'
 
Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?

Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.

Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatapatapa tu bila hoja za msingi eti sijui fulani nini ninachompendea Rais wangu yupogo really haigizagi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHARITY BEGINS AT HOME.

Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...

Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.

Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato

View attachment 1446876
Mtu anamimiwa sifa kibao wakati anajulikana kwa incompetence

kush na Wisdom
 
Chapeni kazi, nipo pamona nanyi
Dunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20200511_213146.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ivi unajua gharama ya kukaa huko ni kubwa sana ? unaleta viva yako hapa ? ivi mbona mijitu ya ccm mavi mavi sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nasikia hapokei simu za wenzake
Labda yuko hoi coronavirus haikimbiwi ingawa Kabudi amesharudi na mkorogo huenda usisaidie maana lazima ufanyiwe utafiti. Baada ya siku 14 tutapata matokeo ya ile dozi ya kuonja aliyobugia Kabudi kule Madagascar. "Ya Leo Kali" maneno ya mtalaam baada ya kuonja kangara kilabuni, Dodoma. Angetumwa Musukuma!
 
May 10, 2020
Lusaka, Zambia

COVID-19: NAKONDE BOARDER ‘SHUT’
President EDGAR LUNGU has directed for a temporary closure of the Nakonde Border with effect Monday 11 May 2020.

Source : ZNBC Today
 
Magufuli angenisikiliza japo Mimi mtu mdogo lkn namshauri asigombee Urais tena,,akapumzike !! Kila nikilala namuotea mambo mabaya kumkuta akiwa madarakani!!! Nakupenda sana mzee Magufuli kama ni historia ushaandikwa!!

Mimi ni pacha ndoto zangu huwa zinanitisha maana asilimia 90% huwa zinakuwa kweli!! Mzee wangu kapumzike,,,narudia tena kapumzike mzee wangu.
Siku hizi hata kuota vitu kama hivyo ni marufuku mkuu,Lema aliwahi kuota ile ndoto ikamfikisha police.
 
Mfano msafara watu 100 x 120,000 x 45 =540,000,000 nje na mafuta, entertainment n.k, hatari sana. Najaribu kuwaza sina uhakika ni mfano.
Vijana wa kazi wanataka Per diem ,ndio maana wanamsumbua mzee, wakikaa dar hakuna ela wanaishi kwa kutegemea mshahara tu, bora wakae chato, sasa wamempeleka kisiwani, nako atakaa huko siku 30, akitoka hapa ataenda kisiwa kingine, halafu ataanza likizo ya kustaafu
 
Mfano msafara watu 100 x 120,000 x 45 =540,000,000 nje na mafuta, entertainment n.k, hatari sana. Najaribu kuwaza sina uhakika ni mfano.
Vijana wa kazi wanataka Per diem ,ndio maana wanamsumbua mzee, wakikaa dar hakuna ela wanaishi kwa kutegemea mshahara tu, bora wakae chato, sasa wamempeleka kisiwani, nako atakaa huko siku 30, akitoka hapo ataanza likizo ya kustaafu
 
Nchi hii ina Ikulu ndogo nyingi.Rais anaweza kwenda popote pale na mambo yakaendelea.Ndg zangu Watanzania tuache kujazana na kupenda Ku entertain story za Kijinga hazitusaidiii hata kidogo.
 
CHARITY BEGINS AT HOME.

Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...

Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.

Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato

View attachment 1446876
Kiutani utani mtu unaweza kwenda mahali usirudi... Ukatokomea kabisa huko ujue

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom