KUMBUKIZI: Mada maalum ya kumuenzi Munga Tehnan na kazi zake

Kaka mbona sukuwahi kuona huu Uzi !? wakati nipo humu yangu 2014?
 
Munga alifundisha njia mbalimbali ikiwa kupitia katika Gazeti la Jitambue, vipindi vya Televisheni vilivyorushwa kupitia kituo cha TBC 1 wakati huo ikijulikana kama TVT.
Pale ilipo KIBO PARK karibu na Kimara kona/ROMBO , ndipo ilipokuwa Nyumba ya utambuzi,ilikuwa karibu na barabara ikavunjwa wakati wanajenga njia ya mwendokasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…