Kumbukizi Magufuli: Tumerogwa na nani?

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya!

Hii inafanya tupigie mstari wa wino mwekundu kuwa, kuna ka mkono kao huwa kanahusika kwenye upigaji wa hii mikataba bogus nchi inayoingia.


Wanasheria wako wengi wamefundishwa na Prof. Kabudi, sifahamu alikuwa anawafundisha nini! Wakiingia kwenye Mikataba kama hii, ile Sheria yote inapotea. Wanasaini chochote wanachoambiwa na saa nyingine draft ya contract zinatoka zimeandaliwa kule wao wanakuja ku initial. This is the country, tumelongwa na nani?
 
Back
Top Bottom