Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ni 5-0, haifutikiHiyo imeshasahaulika , ni zamani mno tokea Azam TV hawaonyeshi mpira ,Magu akiwa bado waziri kawa rais mpaka kafariki.
Majamaa ni wanafki,wanafuta ya simba wanaweka ya kwao,Bado ni 5-0, haifutiki
Haha haha hahaha hili Bango lilidhaminiwa na matajiri wawili wakubwa hapa JF OKW BOBAN SUNZU na GENTAMYCINEHii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..View attachment 2818836