adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Nov 19, 2023 #1 Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..
Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Nov 19, 2023 #2 Okay vizuri.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Nov 19, 2023 #3 Bado ya 5 bila, japo mavi ya kale kunuka kwake labda uyamwagie Sulphur
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Nov 19, 2023 Thread starter #4 makaveli10 said: Bado ya 5 bila, japo mavi ya kale kunuka kwake labda uyamwagie Sulphur Click to expand... Hiyo imeshasahaulika , ni zamani mno tokea Azam TV hawaonyeshi mpira ,Magu akiwa bado waziri kawa rais mpaka kafariki.
makaveli10 said: Bado ya 5 bila, japo mavi ya kale kunuka kwake labda uyamwagie Sulphur Click to expand... Hiyo imeshasahaulika , ni zamani mno tokea Azam TV hawaonyeshi mpira ,Magu akiwa bado waziri kawa rais mpaka kafariki.
C CHAZA JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 8,309 Reaction score 5,701 Nov 20, 2023 #5 adriz said: Hiyo imeshasahaulika , ni zamani mno tokea Azam TV hawaonyeshi mpira ,Magu akiwa bado waziri kawa rais mpaka kafariki. Click to expand... Bado ni 5-0, haifutiki
adriz said: Hiyo imeshasahaulika , ni zamani mno tokea Azam TV hawaonyeshi mpira ,Magu akiwa bado waziri kawa rais mpaka kafariki. Click to expand... Bado ni 5-0, haifutiki
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Nov 21, 2023 #6 CHAZA said: Bado ni 5-0, haifutiki Click to expand... Majamaa ni wanafki,wanafuta ya simba wanaweka ya kwao,
CHAZA said: Bado ni 5-0, haifutiki Click to expand... Majamaa ni wanafki,wanafuta ya simba wanaweka ya kwao,
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Nov 21, 2023 #7 adriz said: Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..View attachment 2818836 Click to expand... Haha haha hahaha hili Bango lilidhaminiwa na matajiri wawili wakubwa hapa JF OKW BOBAN SUNZU na GENTAMYCINE
adriz said: Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..View attachment 2818836 Click to expand... Haha haha hahaha hili Bango lilidhaminiwa na matajiri wawili wakubwa hapa JF OKW BOBAN SUNZU na GENTAMYCINE
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Nov 21, 2023 #8 Inaonekana msimu huu ni 5G tupu. Angalia Kenya wakitoa dozi ya 5G pis. Msilaumu Yanga kutoia 5G wakati ndiyo kipimno sahihi mmsimu huu. View: https://www.youtube.com/watch?v=FvGQZf3JdiQ
Inaonekana msimu huu ni 5G tupu. Angalia Kenya wakitoa dozi ya 5G pis. Msilaumu Yanga kutoia 5G wakati ndiyo kipimno sahihi mmsimu huu. View: https://www.youtube.com/watch?v=FvGQZf3JdiQ
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 21, 2023 #9 Yagangwe yajayo...