KUMBUKIZI: Mpina aliwahi kutoa mapendekezo Makamba, Maharage Chande, Bodi ya TANESCO washtakiwe kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

KUMBUKIZI: Mpina aliwahi kutoa mapendekezo Makamba, Maharage Chande, Bodi ya TANESCO washtakiwe kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

Raisi wetu huu moto wa utumbuaji aliouanzisha ili unoge inatakiwa amteue Mpina awe mshauri wake,hapa utasikia kila baada ya siku mbili kiongozi mmoja baada ya mwiningine anajiuzulu kwa hiari yake bila ya kusubiria mkeka...
 
Hapo shida kumpata panya wa kumfunga paka kengele.
 
No photo description available.
 



Hawezi kujifunza na hana uwezo wowote. Isingekuwa JK na urafiki na Baba yake mzee Makamba Yusuf saa hizi angekuwa msanii wa singeli tu kama Meja Kunta.

Yaani Samia kampa uwaziri wa nishati baada ya kutemwa na Magufuli. Yeye baada ya kufanya kazi kwa ajili ya Watanzania alikwenda pale kukusanya fedha za ufisadi ili aje agombee uRais wa Tanzania dhidi ya mama Samia mwaka 2025.

Badala yake nchi ikaingia gizani kwa mgawo wa umeme wa miezi 6. Baada ya kuhamishwa wizara kwenda Mambo ya Nje akachukia na akaanza kumtukana mama kwa kumtumia Mange Kimambi wa California kupitia page zake za Instagram.

Mtu mwenyewe hana vyeti baada ya kufukuzwa Galanos kwa kuiba mitihani eti ana ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania??

Januari nakuhakikishia uRais wa Tz utausikiliza kwenye redio na TV tu kama marehemu Lowasa na Seif Sharrif Hamad
 
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.

Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.

Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!
 
Back
Top Bottom