Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Ilikuaje Magazeti yalikua na lugha chafu namna hio.
Sasa wote hawapo, malaya na asiye malaya wote wameebda njia moja.
Nafikiri Nyerere ni muasisi wa machawa kama Kawawa.Ila kiukweli mimi nilikua namkubali sana Kambona mazee...🤣
Napenda sana watu wanao jiamini kama Kambona...😊
Kumbe mtakatifu alikuwa na mdomo mchafu🤣🤣🤣
Jee, anajiamini kumzidi lissu!?Ila kiukweli mimi nilikua namkubali sana Kambona mazee...🤣
Napenda sana watu wanao jiamini kama Kambona...😊
Mbna ata yesu alitamka 'makahaba' ikiwa kutamka Malaya ndio kosaKumbe mtakatifu alikuwa na mdomo mchafu🤣🤣🤣
Alikuwa anaongea Kiswahili?Mbna ata yesu alitamka 'makahaba' ikiwa kutamka Malaya ndio kosa
neno MALAYA kwa nyerere kwa nilivoelewa mimi, alimaanisha mtu anaenunulika.....yaaani anakubali kufanya usaliti wa nchi kwa ajili ya pesa
UKumbe mtakatifu alikuwa na mdomo mchafu🤣🤣🤣
It was not for beginners😂😂 siasa za zamani sio kwa watu dhaifu
Kambona aliamini kwenye upebari na Nyerere na babu waliamini kwenye ujamaa ndo chanzo cha mgogoro waoneno MALAYA kwa nyerere kwa nilivoelewa mimi, alimaanisha mtu anaenunulika.....yaaani anakubali kufanya usaliti wa nchi kwa ajili ya pesa
Kumbe mwl julius naye alikuwa mtu wa siasa za majitaka.
Wewe jamaa una akili sana ya kujiongeza, naamini katika kazi unayofanya utakuwa ni mbunifu wa kutegemewa.neno MALAYA kwa nyerere kwa nilivoelewa mimi, alimaanisha mtu anaenunulika.....yaaani anakubali kufanya usaliti wa nchi kwa ajili ya pesa
Una uhakika gani kama Nyerere alitamka maneno hayo Kwa kiswahili! au umesahau kwamba hyo ni aliyonukuu mwandishi wa gazeti!?Alikuwa anaongea Kiswahili?