Kumbukizi; Mwalimu Nyerere: Kambona ni msaliti, mwizi na malaya

😁😁😁😁😁😁 Malaya mmoja...jamaa inaonekana alikuwa mtu wa totoz ....
 
Mwalimu kuna wakati alimuonea wivu. Kambona,Kambona alipendwa na watu haswa vijana.Mpaka hata Nywele Kabona style ilipendwa sana.
Lakini Kambona alikuwa hamuogopi Nyerere alimpa makavu ikibidi.
Hakuwa mnafiki.
Yale maneno ya kumkashifu Kambona ndio siasa za Nyerere enzi hizo,siasa za kuchafuana.
Mbona hakumfungulia mashtaka kama alikuwa mwizi alimuachia huru kwenda UK.
Kumbe mtakatifu alikuwa na mdomo mchafu🤣🤣🤣
U
 
neno MALAYA kwa nyerere kwa nilivoelewa mimi, alimaanisha mtu anaenunulika.....yaaani anakubali kufanya usaliti wa nchi kwa ajili ya pesa
Wewe jamaa una akili sana ya kujiongeza, naamini katika kazi unayofanya utakuwa ni mbunifu wa kutegemewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…