Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Sep 26, 2025 #1 Your browser is not able to display this video.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Sep 26, 2025 #2 Bila shaka amepitiliza kwenye kile kiwango cha juu kabisa cha dharau. Yaani wametoka kuwadharau wanadamu, sasa wamehamia mpaka kwa Mungu. Ila ipo siku majibu ya haya yote yatapatikana. Kama siyo leo basi ni kesho, au keshokutwa.
Bila shaka amepitiliza kwenye kile kiwango cha juu kabisa cha dharau. Yaani wametoka kuwadharau wanadamu, sasa wamehamia mpaka kwa Mungu. Ila ipo siku majibu ya haya yote yatapatikana. Kama siyo leo basi ni kesho, au keshokutwa.