Linus w slaa
Member
- Jan 29, 2025
- 67
- 152
Mzee Joseph Waryoba Butiku "hili la mauaji nila aibu", mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation. Aliwahi kuwa Katibu Mkuu Binafsi na chief of staff wa Rais Hayati Mwalimu Julias Nyerere
Ya miezi 8 nyuma ila ameona mbaliHivi hii ni mpya? Nimeona mahali na mimi.
Kama ni mpya, hii vita inaenda pazuri na sijui watateka wangapi.
Mzee Joseph Waryoba Butiku "hili la mauaji nila aibu", mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation. Aliwahi kuwa Katibu Mkuu Binafsi na chief of staff wa Rais Hayati Mwalimu Julias Nyerere
View attachment 3358494