Kumbukizi: Nani kama Nyerere (RIP)?

Nilichojifunza kwa Nyerere ni kuwa "HAKUWA MBINAFSI" Tofauti kabisa na viongozi wa awamu zilizomfuatia.
Hasa awamu tatu za mwisho . Hawa tumeona wakichukua Mchuchuma & tumeona juhudi ya kuifanya Chato ulaya nk . Nyerere hakuwa hivyo .

Wabinafsi hawa hapa kwa majina yao:

1. Jiwe - mlipaji mkuu wa Serikali mtoto wa dada. Mwenyekiti uvccm mtoto wa dada. Viwanja vya ndege kwake. State of the art bridge - ukweni. Posts zote muhimu ma home boys!

2. Hangaya - 2025 rais mwanamke huyu wa sasa siyo. Katiba mpya siyo kipaumbele. Air Bus hiyo ndiyo dege la misele.

3. Diblo - kukomaa na mapambio kama mtu huna akili nzuri.

Nani kama huyu?

Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo
 
Basi kwako somo la history halina nafasi . Ajabu unamtukuza Jiwe ambaye naye ni past !!

Waimba mapambio wa msimu hao.

Kesho akiingia pole pole hapo utawasikia pia. Alimradi mkono uende kinywani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…