ujerumaniHizi gari zilikuwa zinazalishwa taiga gani ?
Umenikumbusha Fiat mbaula. Malori roho ya paka. Hii kampuni ya Fiat sijui ilishakufa?Pijo, mshua wangu alikuwa nayo hii mpaka around late 90's. Ukijua/ukijifunzia hii gari na Land-rover 109 hakuna gari, ukiacha fiat mbaura na Bedford utashindwa kuendesha. Labda uwe na wenge tuu.
Naona mwendo wa distributer hapo.Caburator engine.. Ikigoma unaipiga chafya kwa dawa ya mbu🤣View attachment 3287250
Umenikumbusha Fiat mbaula. Malori roho ya paka. Hii kampuni ya Fiat sijui ilishakufa?
Pijo, mshua wangu alikuwa nayo hii mpaka around late 90's. Ukijua/ukijifunzia hii gari na Land-rover 109 hakuna gari, ukiacha fiat mbaura na Bedford utashindwa kuendesha. Labda uwe na wenge tuu.
Kampuni ya UfaransaHizi gari zilikuwa zinazalishwa taiga gani ?