Mjomba yangu alikuwa anatumia perfume anapulizia kwenye carburettor na gari inawaka fasta sometimes alikuwa anachanganya mafuta ya breki na povu la sabuni ya unga na breki inafanya kazi kama kawaidaCaburator engine.. Ikigoma unaipiga chafya kwa dawa ya mbu🤣View attachment 3287250
Kabla ya 604 ilikuwepo 505...Baadaye ilikuja 604.
Exactly, Arusha - Namanga ndio zilikuwa hizo ingawa mimi nimeziona nikiwa mdg miaka ya 90 mwishoniUmenikumbushaa mbali.sana,miaka ya 80 ja 90 digi alikuwa nayo,kipindi hiyo njia ya arusha na mamanga,hadi nairobi zilikuwa kuna peugoat hatari,ngomaaa.zina tembea.,..mzee fasion pale namanga,kina mjombaa,msomalii aseee nili enyoe sana safari,St Luleee
Historia ya Peugeot nchini Tanzania, na kwa hakika Afrika, imefungamana sana na model maarufu ya 504, ambayo ilipata umaarufu mkubwa na kupata jina la utani la "Malkia wa Afrika" kutokana na kutegemewa sana nakuhimili changamoto za barabara za Kiafrika na kutumika kwenye hafla za mikutano mbali mbali ya kitaifa na kimaifa.
Peugeot 504, inayojulikana kwa uimara wake, ilipata umaarufu zaidi barani Afrika, ikiwamo Tanzania, kutokana na uwezo wake wa kuhimili maeneo yenye changamoto na mazingira magumu
Hapa Tanzania mpaka leo makutano ya barabara ya Alhasani Mwinyi na Ohio kuna jengo maarufu la Peugeot houseView attachment 3287244
Kulikuwa na Peugeot 404 na 504!Hii ilikuwa 404 au 05 zilikuwa very strong na stable
👍Kulikuwa na Peugeot 404 na 504!
Hiyo hapo ni Peugeot 504 station wagon. Baadae wafaransa wakaleta Peugeot 505 which was not very popular compared to the previous models.