Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

Dah Umenikumbusha mbali Sana
Mzee Alikuwa Na 504 na 505 sifa kuu za hizo gari zilikuwa zinafukia shimo hatariWrite your reply...
 
Dah Umenikumbusha mbali Sana
Mzee Alikuwa Na 504 na 505 sifa kuu za hizo gari zilikuwa zinafukia shimo hatariWrite your reply...
 
Pijo, mshua wangu alikuwa nayo hii mpaka around late 90's. Ukijua/ukijifunzia hii gari na Land-rover 109 hakuna gari, ukiacha fiat mbaura na Bedford utashindwa kuendesha. Labda uwe na wenge tuu.
Umenikumbusha Fiat mbaula. Malori roho ya paka. Hii kampuni ya Fiat sijui ilishakufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…