Kumbukizi: Profesa Kabudi akimwita Magufuli Mheshimiwa Mungu

Mbna hi katib ya sasinakanyakwa tu nawatu tuko kimya bila kuilinda hyo mpy ikipatikana c watu watakajaga tu
 
Read between the lines ndugu yangu. Lengo la mtoa mada ni kuonesha umuhimu wa katiba mpya na sio kumsema mwendazake.
Pole sana
Kama upo makini utagundua mleta uzi kaandika aya tatu, mbili zimejikita kumchambua adui yake. Na hata hiyo video inamhusu adui yake, sasa wewe umesoma katikati ya mstari upi?
 
Inaonekana jpm ataendelea Kuishi moyoni mwako milele. Ingekuwa vyema kama 'ungemrelease' kwa faida ya afya yako maana yeye alikuwa adui yako na leo hayupo tena na unavyoendelea kumsema ndivyo unavyozidi kuumia.
🖕🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…