Malaria iko kichwani imejaaLissu hajui hayo, hana shukran..kama aliweza kumtukana mbowe alimkaliza miezi 3 nairobi huku akimtawazisha hakuona umuhimu huo. Raha ya mama yeye anajeshi. Lissu akitaka kuleta kama alivyomfanyia mbowe ataishia kama Dr slaa, dhamana itazuiliwa kwa usalama wake.Hio ndio tofauti kati ya mbowe na mama