technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mkuu umetoka usingizi wa mchana?Mama Samia nae hajawahi kutoa siku ingekuwa akawa Rais
Cheo ukikitafuta sana hukipati
Umewaza kama mimi, unajua hiz stress za maisha ni noma sana.Mkuu umetoka usingizi wa mchana?
Hueleweki!
Hii video inaonyesha jamaa anaweza kucontrol emotion, badala ya kuonyesha kakasirika akatabasamu.Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuriView attachment 1769274
View attachment 1769273
Hao watu ni wachache sana wenye uwezo na uvumilivu huoHii video inaonyesha jamaa anaweza kucontrol emotion, badala ya kuonyesha kakasirika akatabasamu.
Great character
Akili sawa na mbu mana yeye anajali kujaza tumbo leo tu hafikirii kama anaweza kupatwa na madhara kwa kukimbilia shibe.Makonda shida hana akili, akili yake inaona leo haioni mbali kuwa vyeo ni vyakupita
Leo sijui atampongeza au atakauka!Atajua hajui
Unamaanisha dab ataishia kuvaa maguo ya kijani tu kama yuko Mortuary?Makonda sasa hivi atakuwa mlokole kamili yaani maana bila maombi anaweza akapata msongo mkubwa wa mawazo. Kote alikonyeaga kambi mungu anakuinua kwa mpango issue ya kontena, kwa chongolo, lwa watendaji wengine. Hakujua kuweka akiba alifanya kazi kwa kiki.
Sent from my SM-T825 using JamiiForums mobile app