1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
M
Ili mfanya biashara asiye na utajiri wa KiPDD na ambaye hakuridhishwa na familia yake hata duka la kuuza viberiti na sabuni awe na utajiri wa kufikia tril. 1 ni lazima awe na biashara inayozalisha kila mwaka sh.Bil.10 kwa muda wa miaka 100 . Yaani huyo mfanyabiashara awe ameishi miaka 100 na tangu kuzaliwa awe ana kipato cha sh. bil.10 kila mwaka . Kipato hicho ni rahisi sana kwa wanamichezo au wanamziki kutokana na pesa wanaolipwa na wenye vilabu .
Lakini kipato hicho kwa Tanzania ni ngumu sana kwa mpiga kiwi na muuza juisi ya Tende na maziwa kukipata . Hii tusidanganyane kabisa.
Akina Mo, Manji ,Rostum ni mabilionea lakini walitokea kwenye Familia za kitajiri tangu mababu lakini eti wanaweza wakapitwa na muuza juisi kariakoo aliyetokea Familia ya kawaida isiyokuwa hata na Brenda ya kukamua embe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni wazi kuna watu nyuma yake wamechukua pesa kule wakaweka waaa.
Hawa leo wanamtukana Nyerere na Sokoine kwa sababu hakuhujumu pesa za umma na kuzificha kwa wafanyabiashara binafsi . Wa anapenda mfumo wa wizi kwa sababu wanaiba pesa za miradi ya umma na kuweka kwa watu binafsi na kujifanya wana PPP. Wizi mtupu. Eti Serikali ya nchi maskini inanunua bahasha ya sh. 100 kwa sh. 500 kwa mtu binafsi wakati ingeweza kuitengeneza kwa sh.50. Huo ndio uzalendo. Elimu inakua mbovu kwa sababu Library za shule hazina tena maana kwa kila mwaka wahindi wanatubadilishia vitabu vya stori za kigeni zenye mpaka picha za kuhamasisha ushoga na zisizo na uhusiano kabisa na mazingira yetu wala Hekaya za kiafrika . Yote ni kwa sababu kila anayeingia madarakani na wizara ya Elimu anataka awe bilionea kupitia fedha za manunuzi na 10% . Huo eti ndio uchumi mzuri wa nchi na uzalendo . Yaani kakikundi ka watu wasiofikia 2000 ndio kanakwapua fedha zote za umma na kisha wanakwepa kodi ,wanajitungia sheria wasishirakiwe mahakamani na mishahara yao haina kodi . Maskini zaidi ya 85 wanaumizwa kwa kodi kubwa na tozo na hawa majizi wakubwa wana wa lusifer.
Na ndio maana wanaua sana wetu kwa sababu wanahofia kuwa siku watu wakiwashtukia watazitapika mchana kweupe na kuishia gerezani .
Hata kodi hata lipa, tusiendekeze umasikini
Uchumi mzuri na positivity inayozungumzwa na wacenge wachache humu ndio hio uliyoielezea hapo. Nawaita wacenge kwa sababu ni watu wenye roho za kishetani tu ambao wanafurahia kundi kubwa likiteseka huku wao wakiogelea kwenye utajiri wa kutisha kupitia ufisadi na ubadhirifu wa fedha za umma.
Magufuli na Sokoine wangepiga collabo hii nchi ingekuwa kama South Africa kwa sasa.