Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.
Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki Kadafi, familia yake na ya Tupac walikua marafiki na wote walikuwa wanachama cha Black Panther Party. kwaiyo muda mwingi aliutumia akiwa na kaka yake wa kufikia Tupac, Tupac alimizdi miaka 5/6.
Kwaiyo walikua pamoja kama kaka na mdogo kama vile Rommy Jones na Diamond wamekuwa. Umeona anajiita Yaki Kadafi and it sound like Gadaffi. Yes it is.
Kundi la Outlawz lililoundwa na Tupac, walikua wanatumia A.K.A za Madikteta mbalimbali;
Bahati mbaya wote wawili waliuawa kwa risasi ndani ya mwaka mmoja.

- Hussein Fatal - Jina la Sadam Hussein
- E.D.I Mean - Jina la Idd Amin dada
- Kastro - Fidel Castro
- Mussolini - Benitto mussolini
- Napoleon - Napoleon Bonaparte