Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

I wish I could take the pain away
If you can make it through the night, there's a brighter day
Everything will be alright if you hold on
It's a struggle every day, gotta roll on
FB_IMG_16700146151784527~3.jpg
 
Eminem anawezaje kuflow vile??
Probably [emoji39], Ila Eminem aliingia kwny HipHop ili kuneutralise hashy words towards US govt, na kuua Black Supremacy & Domination kwenye HipHop

Tupac angekuwa hai, Eminem asingemkaribia hata kiurafiki kwsbb Tupac hakuwa Mnafiki
 
Happy mother's day
FB_IMG_16841371368730304.jpg
 
Umeshakuwa dr. Wa meno Sasa au sio, hayo achana nayo ww angalia photo za mwamba then sepa.
Mimi nimetoa oni langu kutokana na Perspective-ion yangu. Nawe unaruhusiwa kutoa oni kwa mlengo uliopo. Kama unaona Dental formula yao nzuri basi sawa. Kwangu mie naona mbaya!
 
Probably [emoji39], Ila Eminem aliingia kwny HipHop ili kuneutralise hashy words towards US govt, na kuua Black Supremacy & Domination kwenye HipHop

Tupac angekuwa hai, Eminem asingemkaribia hata kiurafiki kwsbb Tupac hakuwa Mnafiki
Eminem ilikuwa ni project ya "Sii Ai Ei" kuua "black sumpremacy" kwenye HipHop/Rap kama ulivyoandika.
 
Kama mtakua mmenotice... Mtaani kuna ongezeko kubwa la Tishet zenye picha ya 2Pac
It's just me against the world, baby..

Yasmin na afeni walikutana kwenye hiko chama na kuweka bond kubwa kinoma...kuanzia hapo urafiki wao ulidumu hadi kwa watoto

Na chafu yao alikuwa mume wake yasmin jina nimelisahau ambaye alikuwa mwanasiasa jela.

They got money for WAR but can't feed the poor #KEEPYOURHEADUP

Dear Mama

Haya katafute mkuu
 
nadhani sababu ni ile black live matter maana kwenye yale maandamao kulipigwa wimbo wa Tupac Changes.
Maandamano yalifanyika lini?? Maana nimeanza kuona wingi wa hayo matishet mwezi wa 6
 
Back
Top Bottom