Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Natural born leader
FB_IMG_1673614121157.jpg
View attachment 2480355
 
Katika Watu walibahatika kukutana na Pac mara kadhaa ni Will Smith, Smith anasema hakuwahi kuvutiwa kumfanya Pac rafiki kisa tu Jada alikuwa anamzimikia sana Pac... Hii ndo Bongo tuna Ntimanyongo!

Pac alivokuwa Jela, Yaki aliweka Record ya kuwa Mtu aliemtembelea sana huko Keko!
 
Naami pac alikula sana tu kwa Jada maana yule demu alikua anamzimikia sana. Jamaa ana nyota ya kupendwa sana hadi leo
 
Tupac ni King wa East Coast na West Coast

Cos ilizaliwa New York na Aliendeleza harakati zake California

Police walikuwa wanawasumbua sana cos bimkubwa wake alikuwa msumbufu kwenye chama la wana Black Panther.....

Money bring Bitch
Bitch bring lie
#ALLEYEZONME #THUGLIFE TILL I'M GONE
 
Nataman kujua mama ake Yaki Kadafi na mama ake Tupac walikutana vipi. Maana walibond sana kama ndugu!
Mbali na kukutanishwa na BP Party nini hasa kiliwafanya wabond zaid???

Money bring Bitch
Bitch bring lie
#ALLEYEZONME #THUGLIFE TILL I'M GONE
The feds is watchin' - plottin' to get me
Will I survive? Will I die? Come on, let's picture the possibility
Givin' me charges, lawyers makin' a grip
I told the judge I was raised wrong and that's why I blaze
Was hyper as a kid, cold as a teenager
On my mobile, callin' big shots on the scene major
Packin' hundreds in my drawers - the law
Passion, I'm livin' rough and raw
Catchin' cases at a fast rate, ballin' in the fast lane
Hustle 'til the mornin', never stopped until the cash came
FB_IMG_16733268552926926.jpg
 
Nataman kujua mama ake Yaki Kadafi na mama ake Tupac walikutana vipi. Maana walibond sana kama ndugu!
Mbali na kukutanishwa na BP Party nini hasa kiliwafanya wabond zaid???

The feds is watchin' - plottin' to get me
Will I survive? Will I die? Come on, let's picture the possibility
Givin' me charges, lawyers makin' a grip
I told the judge I was raised wrong and that's why I blaze
Was hyper as a kid, cold as a teenager
On my mobile, callin' big shots on the scene major
Packin' hundreds in my drawers - the law
Passion, I'm livin' rough and raw
Catchin' cases at a fast rate, ballin' in the fast lane
Hustle 'til the mornin', never stopped until the cash came
View attachment 2495764
Yasmin na afeni walikutana kwenye hiko chama na kuweka bond kubwa kinoma...kuanzia hapo urafiki wao ulidumu hadi kwa watoto

Na chafu yao alikuwa mume wake yasmin jina nimelisahau ambaye alikuwa mwanasiasa jela.

They got money for WAR but can't feed the poor #KEEPYOURHEADUP
 
Hivi hadi Yaki anakufa baba yake alikua hajatoka jela.?
FB_IMG_16714862279179268.jpg

They got money for WAR but can't feed the poor #KEEPYOURHEADUP
I'm old enough to go to War but not old enough to Drink
#LordCanYouHearMe
 
Wapuuzi wa billboards wamemuweka 4th grade. Kwamba anazidiwa na Kendrick??.
So absurd
 
Hussein Fatal katimiza miaka 50 juzi, Rest In Peace Hussein
 
I'm suicide so don't stand near me, my every move is calculated step..To bring me closer, to embrace an early death 😢
FB_IMG_1680601678135.jpg
 
Back
Top Bottom