Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Pac alikuwa na bifu na watu wengi Sanaa...kifupi nae pia alikuwa Mkorofi.

Kwani hata kabla ya kupigwa risasi masaa machache yaliyopita yeye na Suge Knight si walikuwa wametoka kumzibua chalii mmoja wa Gang nyingine?
Na huyo jamaa "Orlando Anderson" ndio akamlia Timing baadae barabarani na kumzimisha...
Orlando_Anderson.jpg
 
Hivi 2Pac alikua anajua atakufa muda sio mrefu au.. maana nyimbo zake nyingi amekua akizungumzia kifo chake.
....
I got so much to say
Dear Lord can you hear me? Tell me what to say
To my unborn seed in case I pass away
Will my child get to feel love
Or are we all just cursed to be street thugs?
'Cause bein' black hurts
And even worse if you speak first
Livin' my life as an Outlaw, what could be worse?
'Cause maybe if I tried to change
Who I'm kiddin', I'ma thug 'til I die, I'm a rider, man
Touch bases, eat lunch at plush places
Regular criminal oasis awaits us
If there's a ghetto for true thugs, I'll see you there
And I'm sorry for not bein' there
Just know your daddy was a soldier, me against the world
Bless the boys, and all my little girls
To the Lord I'm eternal, restin' in peace
Please take care of all my seeds
To my unborn child
Unborn child bonge la dude na beat ya wacko jacko
 
Wengi wasilolijua au halisemwi ni kuwa 2pac alishiriki ktk kampeni nyingi za black panther akiwa mtoa mada kuhusu black consciousness. His mother Afen, amekufa akiwa ktk FBI most wanted list kwa sababu ya kuhamasisha haki za mtu mweusi USA.

He was very brainy person. Wengi wanamjua kwa kupitia nyimbo lakini si kwa mahojiano yake. Na naamini wazungu walikuwa hawapublish sana mahojiano yake. Kwa sababu alikuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Walimvictimize sana kupitia nyimbo zake kadhaa zilizokuwa zina parential guidance.

Yote kwa yote napenda his lyrics. Lakini flow yake ilizidiwa utamu na ya Notorious BIG.
Hapo mwisho wengi husema B.I.G. ana flow nzuri kushinda 2PAC ila mimi binafsi hadi leo huwa sikubali. 2PAC anamzidi kila kitu BIGGIE.

Hiyo ya flow nzuri ni kumuonea huruma tu BIGGIE ili aonekane kwenye mizani.
 
Hapo mwisho wengi husema B.I.G. ana flow nzuri kushinda 2PAC ila mimi binafsi hadi leo huwa sikubali. 2PAC anamzidi kila kitu BIGGIE.

Hiyo ya flow nzuri ni kumuonea huruma tu BIGGIE ili aonekane kwenye mizani.
Hata mi naonaga hivyo mkuu mi siionagi hiyo flow ambayo watu wanasema B.I.G anamzid Pac siioni,,. Pac alimzid Kila kitu big, sema ukiwa at the top watu watakutaftia mtu wakukushindanisha nae tu always, angalia hata game yetu ya bingofleva
 
That's why he's a legend
Sema kawatembezea kinoma noma wadada. Huyo ni dada ake WakoJako Janett Jackson
View attachment 2386436
Huyu mwamba Pac kwenye uchakataji wa mbususu hakuwa nyuma tembezea moto sana celebrities wa kike wa miaka hiyo. Wachakata mbususu tunamuenzi mwanachama mwenzetu
 
Back
Top Bottom