Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Only God Can Judge Me ....nimeudownload sasa hivi ninakula mashairi...

No love from other side they wish I die

I call the nurse cause it hurts!

I' d rather die like a men instead of living like a coward

Wimbo una harakati huu kuliko za TL
Mtu aliyezoea kusikiliza nyimbo za koh koh Yaw Yaw Baharesa.. akisikia hayo mashairi anasema jamaa muhuni tu mvuta bange
 
Kwa kuongezea Tupac ndio aliwapa majina wenzako wote na kwa kifupi jamaa alikuwa msomi mzuri sana wavitabu refer kwenye album yake ya 7 theory na jina lake makavelli utaona alikuwa yuko ahead na mda kwa kumaliza kwangu ni best rap dead or alive..
26 yrs tangu afariki and he's still A GOAT of Rap. Kasikilize wimbo wa Ain't Mad at Cha uobe ujumbe wa maana ulioko huko kuhusu mabadiriko
 
Swadakta...
Kwanza kaangalie real life movie story ya Barry Seal inaiitwa inaitwa "American Made"
kwa jinsi alivyoruhusiwa na CIA kufanya biashara ya Cocaine ili fedha zinazopataikana zisaidie nchi za america ya kusini kuupinga mfumo wa kikomunisti unaondeshwa na serikali zao tawala..
Halafu
Kaitafute TV series inaiitwa "SNOWFALL"
Ili ujue jinsi ya hiyo shughuli ya ya Barry Seal ilivyotumika na CIA kuingiza Cocaine na kusambazwa kwa jamii ya watu weusi....
Operation nyingi za Afghanistan hua wanaleta madawa US strictly for black neighborhood. Ndio maana wanajeshi weusi wakitoka huko hua wanadata coz they have witnessed and see things that they can't Unsee.
 
Mimi sio muhuni ila sometimes nakua na kazi ofisini background music inagonga 'Hit em up' inakua inanipa mood ya kazi sana jamaa anajua

He is my number 2 favourite rapper after jay z


First off, f**k your bitch and the click you claim
Westside when we ride come equipped with game
You claim to be a player but I f***d your wife
We bust on Bad Boy niggaz fucked for life
Plus Puffy tryin' ta see me weak hearts I rip
Biggie Smalls and Junior M.A.F.I.A. Some mark-ass bitches

We keep on comin' while we runnin' for yo' jewels
Steady gunnin, keep on bustin at them fools, you know the rules
Lil' Ceaser, go ask ya homie how I leave ya
Cut your young ass up, leave you in pieces, now be deceased

Lil' Kim, don't f**k around with real G's
Quick to snatch yo' ugly a**soff the streets, so f**ck peace
I let them niggaz know it's on for life
So let the Westside ride tonight
Bad Boy murdered on wax and killed
F**k wit' me and get yo' caps peeled, you know, see

Haitokaa itokee diss song kama hii ever,ikitoka hii ni no vaseline[emoji2]
 
26 yrs tangu afariki and he's still A GOAT of Rap. Kasikilize wimbo wa Ain't Mad at Cha uobe ujumbe wa maana ulioko huko kuhusu mabadiriko
Aahh
Unanikumbusha mbali sana....

He went from nothin' to lots, ten carots to rock
Went from a nobody nigga to the big, man on the block
He's Mister local celebrity, addicted to move a key
Most hated by enemy, escape in the luxury

Oh you a Muslim now, no more dope game
Heard you might be comin' home, just got bail
Wanna go to the Mosque, don't wanna chase tail
I seems I lost my little homie he's a changed man
Hit the pen and now no sinnin' is the game plan
When I talk about money all you see is the struggle
When I tell you I'm livin' large you tell me it's trouble
Congratulation on the weddin', I hope your wife know
She got a playa for life, and that's no bullshittin'
 
Aahh
Unanikumbusha mbali sana....

He went from nothin' to lots, ten carots to rock
Went from a nobody nigga to the big, man on the block
He's Mister local celebrity, addicted to move a key
Most hated by enemy, escape in the luxury

Oh you a Muslim now, no more dope game
Heard you might be comin' home, just got bail
Wanna go to the Mosque, don't wanna chase tail
I seems I lost my little homie he's a changed man
Hit the pen and now no sinnin' is the game plan
When I talk about money all you see is the struggle
When I tell you I'm livin' large you tell me it's trouble
Congratulation on the weddin', I hope your wife know
She got a playa for life, and that's no bullshittin'
She got a player for life and that's no bullshitinπŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa kawachana wahuni kweli kwenye huu wimbo. But he ain't mad at Em... Just educating the muchachos
 
Naomba nikuulize..
Malcom X na Luther King Jr waliuawa kwakua walikua wahuni??
Unajua chanzo cha Yaki Kadafi kukukia kwa kina 2Pac?? Yote ni ajili ya oppression ya wazungu kwa wa afrika.
#BlackPantherParty
Muta Wasin...yaani ''Napoleon'' mwanakundi mwenzie Yaki Kadaffi ndiye aliyempiga risasi Dogo Yaki akiwa na miaka 19 tu.

Sasahivi ni Ustadh mshika dini sana na anaishi Saudi Arabia...mwaka 2017 alikiri alimshoot Yaki kwa bahati mbaya, ingawa mama yake Yaki Kadafi chotara mwanaharakati na Muislam aitwae Jasmine anasema Napoleon alimuua mwanae kwa kukusudia

Mfuatilie Jasmine bado ni Mwanaharakati sana ingawa wenzie wengi akina mama yake 2pac hawapo ila huyu mama bado ni mpigania haki ingawa yeye si mweusi pure.
 
2 pac hakuwa muhuni ni kwamba deep thinkers au watu wanaoona tofauti na jamii huwa wanaonekana ni Outlaws...Kama hakuuwa kwa kukusudia na hakuliwa kiboga na kama makosa aliyoyafanya hamna mtu anayejua circumstances alizokuwa nazo basi huyo ni hana makosa mbele ya macho ya mwanaadamu

Na ndiyo maana akaja na wimbo wa Only God Can Judge Me
 
Kifo cha Kadafi:

Baada ya Tupac kufa, Kadafi na baadhi ya Outlawz (Hussein Fatal, Young Noble, Napoleon) waliamua kurudi kwao (East Coast), wengine wakarudia kuwa mapusha wadogo wadogo (Hussein Fatal).

Siku moja (November 1996) huko New Jersey Kadafi (19) na Mdogo wake Napoleon (16) wakiwa wamelewa mapoda, wakawa wanataniana na kuonyeshana bastola, bahati mbaya bastola ya mdogo wake Napoleon ikafyatuka na kumuua Kadafi. Dogo akakimbia.

Baada ya miaka kadhaa na ushauri wa kujisalimisha aliopewa na kaka yake Napoleon, Dogo alijipeleka mwenyewe polisi na kuelezea hayo. Alisema nafsi ilikuwa inamsuta sana. Polisi kabla ya hapo walikuwa hawana idea nani kamuua Kadafi. Dogo alipigwa mvua ya miaka 7.

Napoleon aliamua kuwa Ostadh mpaka leo anazunguka nchi mbali mbali akihubiri hubiri na ana mkwanja mrefuView attachment 2387423
Sio mdogo wake ila Binamu yake Napoleon
 
Naomba nikuulize..
Malcom X na Luther King Jr waliuawa kwakua walikua wahuni??
Unajua chanzo cha Yaki Kadafi kukukia kwa kina 2Pac?? Yote ni ajili ya oppression ya wazungu kwa wa afrika.
#BlackPantherParty
nimekupata kaka nimeifunza zaidi huu uzi wa Pac ni mzuri[emoji120]
 
Sure kk.. anaesema tupac muhuni hajawah sikiliza nyimbo zake
Ukisikiliza mashair ya kwmy nyimbo zake utagundua alkua mtu gn
#rip
Kuna watu wanadhan tupac wa kwenye movies za juice na above the rim ndio uhalisia wakat yeye aliigiza kuelemisha mablack madhala ya gangs violence
Too sad the hard headed never learns
 
Back
Top Bottom