Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Haya nakujaHAKIKA
ADUI akijua mbinu zetu kushinda vita ngumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nakujaHAKIKA
ADUI akijua mbinu zetu kushinda vita ngumu.
Its you against the world 😄Wahuni mnaopoa magirls humu wakati mtoa mada niko Empty
Jamaa wamekufa wakiwa wadogo sana,binadamu ni wabaya sana2Pac amekufa akiwa na 24yrs
Yaki Kadafi kafariki akiwa na 19Yrs.
Hesabu ni muhimu sana kwenye maisha ya kila siku himiza wanao wasiikimbie😅
Na kwa majina waliyojipa na influence waliyokuwa nayo kipindi hicho napata picha kwann walikula shaba woteTupac angebaki hai mpaka sasa angekua anamiliki kundi baya sana watu watukutu kuwai kutokea,alikua na nyota pia ya kupendwa na watukutu,watata,makabaila,wahuni n,k.
huyu ni mtukutu haswa naamini kama kweli yupo mbinguni basi keshafanya virugu za kila aina huko.
Daah umetisha mwanaMkuu alikua anasuguana nao kwakua walikua wanawakandamiza hili lajulikana. View attachment 2386389
Unaandikaga ndefu kumbe 🤣🤣Mmmh haihusian na bangi jamani kuna mtu mmoja hivi ana macho mazuri sana tena ye makubwa kiasi na wala havuti bangi wala kunywa pombe
Ukiwa nayo mazuri ni mazuri tu
Tupac alikuwa na influence kubwa sana kutokana na harakati zake kuwa influenced na black panthers ( Mama yake alikuwa ni miongoni mwa members ), mhuni wala hakuwa mhuni kihivyo......Tupac angebaki hai mpaka sasa angekua anamiliki kundi baya sana watu watukutu kuwai kutokea,alikua na nyota pia ya kupendwa na watukutu,watata,makabaila,wahuni n,k.
huyu ni mtukutu haswa naamini kama kweli yupo mbinguni basi keshafanya virugu za kila aina huko.
Hii nyimbo ndio ilimfanya wakamuuaMimi sio muhuni ila sometimes nakua na kazi ofisini background music inagonga 'Hit em up' inakua inanipa mood ya kazi sana jamaa anajua
He is my number 2 favourite rapper after jay z
First off, f**k your bitch and the click you claim
Westside when we ride come equipped with game
You claim to be a player but I f***d your wife
We bust on Bad Boy niggaz fucked for life
Plus Puffy tryin' ta see me weak hearts I rip
Biggie Smalls and Junior M.A.F.I.A. Some mark-ass bitches
We keep on comin' while we runnin' for yo' jewels
Steady gunnin, keep on bustin at them fools, you know the rules
Lil' Ceaser, go ask ya homie how I leave ya
Cut your young ass up, leave you in pieces, now be deceased
Lil' Kim, don't f**k around with real G's
Quick to snatch yo' ugly a**soff the streets, so f**ck peace
I let them niggaz know it's on for life
So let the Westside ride tonight
Bad Boy murdered on wax and killed
F**k wit' me and get yo' caps peeled, you know, see
Naomba nikuulize..Tupac angebaki hai mpaka sasa angekua anamiliki kundi baya sana watu watukutu kuwai kutokea,alikua na nyota pia ya kupendwa na watukutu,watata,makabaila,wahuni n,k.
huyu ni mtukutu haswa naamini kama kweli yupo mbinguni basi keshafanya virugu za kila aina huko.
Wengi wasilolijua au halisemwi ni kuwa 2pac alishiriki ktk kampeni nyingi za black panther akiwa mtoa mada kuhusu black consciousness. His mother Afen, amekufa akiwa ktk FBI most wanted list kwa sababu ya kuhamasisha haki za mtu mweusi USA.Mbona mimi sio muhuni hata kidogo.
Jipe muda sikiliza vitu anavyoimba Tupac utaelewa jamaa alikua sio zaidi ya muhuni.
Kuna video moja alihojiwa akawa anamponda Michael Jackson na matajiri wengine weusi wenye mamilioni bank wakati kuna ndugu zao weusi wanakufa njaa. Kwa taarifa yako alikufa akiwa na 24yrs chalii tu ilaalikua na akili ya miaka 50.
That's why he's my role model
View attachment 2386343
Wengi wasilolijua au halisemwi ni kuwa 2pac alishiriki ktk kampeni nyingi za black panther akiwa mtoa mada kuhusu black consciousness. His mother Afen, amekufa akiwa ktk FBI most wanted list kwa sababu ya kuhamasisha haki za mtu mweusi USA.Mbona mimi sio muhuni hata kidogo.
Jipe muda sikiliza vitu anavyoimba Tupac utaelewa jamaa alikua sio zaidi ya muhuni.
Kuna video moja alihojiwa akawa anamponda Michael Jackson na matajiri wengine weusi wenye mamilioni bank wakati kuna ndugu zao weusi wanakufa njaa. Kwa taarifa yako alikufa akiwa na 24yrs chalii tu ilaalikua na akili ya miaka 50.
That's why he's my role model
View attachment 2386343
Tupac alikuwa na influence kubwa sana kutokana na harakati zake kuwa influenced na black panthers ( Mama yake alikuwa ni miongoni mwa members ), mhuni wala hakuwa mhuni kihivyo......
Alikuwa na uhuni wa kawaida wa kila black America aliyekulia kwenye Hoods.
Real gangsters mbona bado wapo hadi leo....
Dr dre - kuna kipindi alikuwa anakamatwa karibia kila wikiendi.
Kurupt - Huyu hata ukimuona unaogopa.
N.W.A wote hawa ndio ukiskiliza ngoma zao mpaka unaogopa. Mfano F.....ck police the way ilisababisha Vurugu compton.
Snoop, na wengine waliodanja kwa mambo mengine.
Nadhani wengi hawamfahamu wala hawasikilizi nyimbo zake in details wakajua ujumbe anaoimba. Mimi nikiwa nasikiliza nyimbo zake lazima niwe nasoma na lyrics zake ili nimuelewa. Sasa mtu akisikia anavyofoka ukizingatia kingereza na watanzania ni maadui basi mtu anajua anaimba uhuni.Wengi wasilolijua au halisemwi ni kuwa 2pac alishiriki ktk kampeni nyingi za black panther akiwa mtoa mada kuhusu black consciousness. His mother Afen, amekufa akiwa ktk FBI most wanted list kwa sababu ya kuhamasisha haki za mtu mweusi USA.
He was very brainy person. Wengi wanamjua kwa kupitia nyimbo lakini si kwa mahojiano yake. Na naamini wazungu walikuwa hawapublish sana mahojiano yake. Kwa sababu alikuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Walimvictimize sana kupitia nyimbo zake kadhaa zilizokuwa zina parential guidance.
Yote kwa yote napenda his lyrics. Lakini flow yake ilizidiwa utamu na ya Notorious BIG.