Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

I hear Brenda's got a baby
But Brenda's barely got a brain
A damn shame, the girl can hardly spell her name
(That's not our problem, that's up to Brenda's family)
Well, let me show ya how it affects the whole community
Now Brenda really never knew her moms and her dad was a
Junky, puttin' death to his arms, it's sad 'cause I bet
Brenda doesn't even know
Just 'cause you're in the ghetto doesn't mean you can't grow (you can't grow)
But oh, that's a thought, my own revelation
Do whatever it takes to resist the temptation
Brenda got herself a boyfriend
Her boyfriend was her cousin, now let's watch the joy end
 
2pac marehemu anayeongoza Kwa kusujudiwa na walio hai. Ni msanii aliyefunguliwa akaunti nyingi kwenye mitandao ya kijamii (Facebook, Instagram) ikiwa ni sehemu ya kumuenzi kama rapa Bora kuwahi kutokea hapa duniani.
Sijajua kama uwezo wake wa ku-rap ndiyo unamfanya kuenziwa au alikuwa ana nyota Kali ya kupendwa ndiyo sababu ya kuendelea kuenziwa.
 
Tupac kuwa rapa bora kuwahi kutokea ni debatable.


Kibaya alifariki akiwa mdogo huenda angefikia potential kubwa zaidi.
 
Iko hivi

Kundi la Outlaws la Tupac Shakur lilikuwa kubwa, lilikuwa na members wengine wawili mmoja alikuwa Mwafrika (Mghana), miaka ya 1998-1999 alikimbilia kwao Ghana, kisha kwa Aunt yake Nairobi then akaishia ARUSHA - Tanzania, Alikuwa anajiita BLACKII

Alikuwa anaishi nyumba iliyopo jirani kabisa na uwanja wa Gymkhana inatazamana na Prime Sec.School, Uzunguni

Alikuwa na tabia ya kusoma Magazeti mahotelini hasa Impala hotel na Library ya Mkoa wa Arusha na T-shirt yake iliyoandikwa JKTW (Just Kill Them Whites) kwa nyuma...ila baadhi ya maandishi amefuta kidizain

Blackii alikuwa anasema popote utakapoweza kumuua mzungu muue tu
 
Mkuu picha yake tafadhali
 
Dre ni gangsta? Tangu lini?
 
Afeni Shakur hakuwa kwenye listi ya "FBI most wanted". Umechanganya na Assata Shakur ambaye alikimbilia Cuba na anaishi huko mpaka leo.
 
"spend my time in this cell, ain't livin' well
I know my destiny is Hell, where did I fail?
My life is in denial, and when I die
Baptized in eternal fire, I'll shed so many tears"

2Pac lives in my heart
View attachment 2386326
Mashairi ya 2pac yalishiba uhalisia , the guy was genius , mtu ambaye hakufikisha hata 30 years , anaongelewa kwa zaidi ya miaka 30 baada ya kifo chake
Shed so many tears is one of my favourite, but the good die young is up there in my playlist
 
Ukitaka wanawake wanaojitambua wakupende kichwa chako kiwa smart tu.
Akili ni nywele ila upara wa tupac ulikua unatema madini balaa
Sahihi kabisa , angalia hii akiwakalisha waandishi wa habari alipotoka court house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…