Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

I hear Brenda's got a baby
But Brenda's barely got a brain
A damn shame, the girl can hardly spell her name
(That's not our problem, that's up to Brenda's family)
Well, let me show ya how it affects the whole community
Now Brenda really never knew her moms and her dad was a
Junky, puttin' death to his arms, it's sad 'cause I bet
Brenda doesn't even know
Just 'cause you're in the ghetto doesn't mean you can't grow (you can't grow)
But oh, that's a thought, my own revelation
Do whatever it takes to resist the temptation
Brenda got herself a boyfriend
Her boyfriend was her cousin, now let's watch the joy end
 
2pac marehemu anayeongoza Kwa kusujudiwa na walio hai. Ni msanii aliyefunguliwa akaunti nyingi kwenye mitandao ya kijamii (Facebook, Instagram) ikiwa ni sehemu ya kumuenzi kama rapa Bora kuwahi kutokea hapa duniani.
Sijajua kama uwezo wake wa ku-rap ndiyo unamfanya kuenziwa au alikuwa ana nyota Kali ya kupendwa ndiyo sababu ya kuendelea kuenziwa.
 
2pac marehemu anayeongoza Kwa kusujudiwa na walio hai. Ni msanii aliyefunguliwa akaunti nyingi kwenye mitandao ya kijamii (Facebook, Instagram) ikiwa ni sehemu ya kumuenzi kama rapa Bora kuwahi kutokea hapa duniani.
Sijajua kama uwezo wake wa ku-rap ndiyo unamfanya kuenziwa au alikuwa ana nyota Kali ya kupendwa ndiyo sababu ya kuendelea kuenziwa.
Tupac kuwa rapa bora kuwahi kutokea ni debatable.


Kibaya alifariki akiwa mdogo huenda angefikia potential kubwa zaidi.
 
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.

Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki Kadafi, familia yake na ya Tupac walikua marafiki na wote walikuwa wanachama cha Black Panther Party. kwaiyo muda mwingi aliutumia akiwa na kaka yake wa kufikia Tupac, Tupac alimizdi miaka 5/6.

Kwaiyo walikua pamoja kama kaka na mdogo kama vile Rommy Jones na Diamond wamekuwa. Umeona anajiita Yaki Kadafi and it sound like Gadaffi. Yes it is.

Kundi la Outlawz lililoundwa na Tupac, walikua wanatumia A.K.A za Madikteta mbalimbali;
  • Hussein Fatal - Jina la Sadam Hussein
  • E.D.I Mean - Jina la Idd Amin dada
  • Kastro - Fidel Castro
  • Mussolini - Benitto mussolini
  • Napoleon - Napoleon Bonaparte
Except 2Pac pekee ndio alijipa jina la mwanafalsafa kutoka Italia, Nicolo Machiaveli and 2Pac Remains as Phylosophical rapper ever lived.

Bahati mbaya wote wawili waliuawa kwa risasi ndani ya mwaka mmoja.
View attachment 2386245
Iko hivi

Kundi la Outlaws la Tupac Shakur lilikuwa kubwa, lilikuwa na members wengine wawili mmoja alikuwa Mwafrika (Mghana), miaka ya 1998-1999 alikimbilia kwao Ghana, kisha kwa Aunt yake Nairobi then akaishia ARUSHA - Tanzania, Alikuwa anajiita BLACKII

Alikuwa anaishi nyumba iliyopo jirani kabisa na uwanja wa Gymkhana inatazamana na Prime Sec.School, Uzunguni

Alikuwa na tabia ya kusoma Magazeti mahotelini hasa Impala hotel na Library ya Mkoa wa Arusha na T-shirt yake iliyoandikwa JKTW (Just Kill Them Whites) kwa nyuma...ila baadhi ya maandishi amefuta kidizain

Blackii alikuwa anasema popote utakapoweza kumuua mzungu muue tu
 
Iko hivi

Kundi la Outlaws la Tupac Shakur lilikuwa kubwa, lilikuwa na member wengine wawili mmoja alikuwa Mwafrika (Mghana), miaka ya 1998-1999 alikimbilia kwao Ghana, kisha kwa Aunt yake Nairobi then akaishia ARUSHA - Tanzania, Alikuwa anajiita BLACKII

Alikuwa anaishi nyumba iliyopo jirani kabisa na uwanja wa Gymkhana inatazamana na Prime Sec.School

Alikuwa na tabia ya kusoma Magazeti mahotelini hasa Impala hotel na Library ya Mkoa wa Arusha na T-shirt yake iliyoandikwa JKTW (Just Kill Those Whites) kwa nyuma

Blackii alikuwa anasema popote utakapoweza kumuua mzungu muue tu
Mkuu picha yake tafadhali
 
Tupac alikuwa na influence kubwa sana kutokana na harakati zake kuwa influenced na black panthers ( Mama yake alikuwa ni miongoni mwa members ), mhuni wala hakuwa mhuni kihivyo......
Alikuwa na uhuni wa kawaida wa kila black America aliyekulia kwenye Hoods.

Real gangsters mbona bado wapo hadi leo....
Dr dre - kuna kipindi alikuwa anakamatwa karibia kila wikiendi.
Kurupt - Huyu hata ukimuona unaogopa.
N.W.A wote hawa ndio ukiskiliza ngoma zao mpaka unaogopa. Mfano F.....ck police the way ilisababisha Vurugu compton.

Snoop, na wengine waliodanja kwa mambo mengine.
Dre ni gangsta? Tangu lini?
 
Wengi wasilolijua au halisemwi ni kuwa 2pac alishiriki ktk kampeni nyingi za black panther akiwa mtoa mada kuhusu black consciousness. His mother Afen, amekufa akiwa ktk FBI most wanted list kwa sababu ya kuhamasisha haki za mtu mweusi USA.

He was very brainy person. Wengi wanamjua kwa kupitia nyimbo lakini si kwa mahojiano yake. Na naamini wazungu walikuwa hawapublish sana mahojiano yake. Kwa sababu alikuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Walimvictimize sana kupitia nyimbo zake kadhaa zilizokuwa zina parential guidance.

Yote kwa yote napenda his lyrics. Lakini flow yake ilizidiwa utamu na ya Notorious BIG.
Afeni Shakur hakuwa kwenye listi ya "FBI most wanted". Umechanganya na Assata Shakur ambaye alikimbilia Cuba na anaishi huko mpaka leo.
 
"spend my time in this cell, ain't livin' well
I know my destiny is Hell, where did I fail?
My life is in denial, and when I die
Baptized in eternal fire, I'll shed so many tears"

2Pac lives in my heart
View attachment 2386326
Mashairi ya 2pac yalishiba uhalisia , the guy was genius , mtu ambaye hakufikisha hata 30 years , anaongelewa kwa zaidi ya miaka 30 baada ya kifo chake
Shed so many tears is one of my favourite, but the good die young is up there in my playlist
 
Ukitaka wanawake wanaojitambua wakupende kichwa chako kiwa smart tu.
Akili ni nywele ila upara wa tupac ulikua unatema madini balaa
Sahihi kabisa , angalia hii akiwakalisha waandishi wa habari alipotoka court house
 
Mutah a.k.a Napoleon alihamia Riyadh Saudi Arabia maisha yake kwa sasa. Ndo alikua mdogo kuliko wote kwenye group .
Screenshot_20221017-143016_Instagram.jpg
Screenshot_20221017-142927_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom