makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Pac alikuwa ni hatari, lyrics, anavyo rap, anatambaa na biti ana energy, alikuwa anamzuka.. Msikilize ngoma alizoshirikisha watu, kuanzia california love, mpaka 2 of amerikaz most wanted, jamaa alikuwa balaa, anatambaa na biti kama hana akili nzuri.
Sikiliza so many tears na ngoma zake kibao, so sad naamini umauti ulimfika akiwa bado ana madinii mengi, ndio alikuwa anaelekea kwenye kilele cha ubora wake, na angekaa hapo akashindana hata na generations 2 hivi.