Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

Pac alikuwa na bifu na watu wengi Sanaa...kifupi nae pia alikuwa Mkorofi.

Kwani hata kabla ya kupigwa risasi masaa machache yaliyopita yeye na Suge Knight si walikuwa wametoka kumzibua chalii mmoja wa Gang nyingine?
Alikuwa anapenda haki hakupenda mtu aonewe na siku zote ukipenda kutetea haki utaonekana msaliti na mkorofi mfano rahisi ni Tundu lissu, Pac alikuwa anatetea sana wanyonge na watu weusi aliwahi kusema hawezi kumiliki pesa nyingi kwenye akaunti wakati maskini kibao wapo mitaani wanakosa hata pa kulala na kula
Ukiwa mwana mabadiriko lazima uonekane mtukutu na mkorofi. Unafahamu historia ya mtu aitwae Spartacus?? Achana na yule wa kwenye muvi. Nasemea in real life
 
Kwanini alijiita kiluminati???
Killuminati sio Kiluminati

Kill + illuminati” meaning kill the Illuminati.

In one interview he said “Im putting a K on that Illuminati shit cause thats what im doing, im killing that shit”.

By saying he is “killing that Illuminati shit” not only is he saying he doesn’t believe in it, but he is killing the mindset of those that worry about it. He wants people to open their minds to the bigger problems we face in our everyday lives. “Another way to keep you self-esteem low” is about the mental obstacles we create that stop our own success.

Some say they expect the Illuminati to take my body to sleep
Niggas at the party with they shotties
Just as rowdy as me
Before I flee computer chips
I gotta deal wit brothas flippin
I don’t see no devils bleedin’
Only black blood drippin
We can change
Whatcha mouth say?
I’m watchin niggas work their lives out without pay
Whatever it takes to switch places wit the bustas on top
I’m bustin’ shots make the world stop
They don’t give a f*#k about us “

– “They Don’t Give A F*#k About Us”

Sellin’ my soul for material wishes, fast cars and bitches

– Smile

“I was so money orientated, initiated as a thug
Fiendin for wicked adventures, ambitious as I was
Picture a nigga on the verge of livin insane
I SOLD my SOUL for a chance to kick it and bang

– Good Life

At the same time, he chose to call his new album “Makaveli: The Don Killuminati, 7 Day Theory”. But this LP would prove to be his last, he was gunned down shortly before its release.

Makaveli

Background: Tupac's name originated from the politician, Niccolo Machiavelli who was born on May 3, 1469, in Florence, Italy.

Machiavelli was an Italian historian, politician, diplomat and philosopher. He used, what can be called unscrupulous moves in diplomacy and politics.

Machiavelli defended immoral behaviour to be normal and effective to achieve goals in politics.

Much appreciated sir✌️
 
Will you Happy Weakend...
All 2Pac fans across JF
FB_IMG_16660420832883987.jpg
 
The Only rapa back the. Aliye jua kuwa Kuna lugha ya Kiswahili. So big up to Pac the GOAT. Hakuna kama yeye.
 
Tafuta nyimbo yake iliyopelekea kifo chake inaitwa HIT 'EM UP (Dirty) & OUTLAWS utaelewa au kuna ngoma yake inaitwa HELL 4 A HUSTLER (Dirty) & OUTLAWS humu ndimo nilipojua kwamba 2Pac ana-flow

Sasa sikiliza hayo magoma kwa kutulia utaelewa Jambo kuhusu huyo mwamba

HIT 'EM UP (Dirty) Lyrics[emoji116]

View attachment 2392916View attachment 2392918

Hii nyimbo ndio iliuchukua UHAI wa 2Pac Rest in Paradise

Siku anakufa nilikua home ile nawasha Tv & Radio tu asubuhi taarifa ya kwanza ni kifo cha 2Pac daah
Wala hii haikumuua. Beef lake na big got nothing na alichouliwa. Waliokuwa kwenye gari lililorusha risasi wote wanajulikana na aliye aliyebaki Hai ni KEEFE D. anko WA yule jamaa ambaye 2pac na wenzake walimpiga wakati wanatoka kumcheki Tyson.
 
Is there heaven for a g, remember me...

Kwa haraka haraka Kato katajwa kwenye ngoma zinaweza kufika 5 hivi ninazozijua mimi hiyo.

So many tears
”Be the first to blast Remember Kato
No longer with us; he’s deceased
Call on the sirens, seen him murdered in the streets, now rest in peace”

How Long Will They Mourn Me
”Yeah! This for my nigga Kato, it’s still on nigga – believe that”
” How long.. will they mourn.. my brother
(This for my nigga Kato, and all his kids)”

Life Goes On
”Hey Kato, Mental, y’all niggas make sure it’s poppin’ when we get up there”

Ngoma nyingine zimenitoka.
What is the story behind Kato?
 
Iko hivi

Kundi la Outlaws la Tupac Shakur lilikuwa kubwa, lilikuwa na members wengine wawili mmoja alikuwa Mwafrika (Mghana), miaka ya 1998-1999 alikimbilia kwao Ghana, kisha kwa Aunt yake Nairobi then akaishia ARUSHA - Tanzania, Alikuwa anajiita BLACKII

Alikuwa anaishi nyumba iliyopo jirani kabisa na uwanja wa Gymkhana inatazamana na Prime Sec.School

Alikuwa na tabia ya kusoma Magazeti mahotelini hasa Impala hotel na Library ya Mkoa wa Arusha na T-shirt yake iliyoandikwa JKTW (Just Kill All Whites) kwa nyuma...ila baadhi ya maandishi amefuta kidizain

Blackii alikuwa anasema popote utakapoweza kumuua mzungu muue tu
Hapohapo, godfather wa 2pac aitwae Geradimo Pratt Anatokea Arusha, baada ya kuishi sana US alifariki na kuzikwa Arusha pia
 
Dre hajawahi kuwa gangsta. Niambie yuko/alikuwa affiliated na gang ipi? Ice Cube na Suge Knight pia hawajahi kuwa gangstas. Watu kujitapa kwenye nyimbo kwamba ni gangstas haimaanishi ni gangstas kweli. Eazy E, Snoop, DJ Quick, MC Eiht, Daz na Nipsey Hustle ni baadhi ya real gangstas na mpaka sets zao zinajulikana. Achana na hao studio gangstas.
Yaani Mimi Coolio hata ungeniambia siyo gangster kwa sababu amejitapa kuwa gangster ningebisha...yaani ile nyimbo ya Gangster paradise ilinifanye jamaa nimuone gangster wa hatari....hata ninaposikiliza Get There...ambayo Ina mashairi mazuri lakini bado namuona ni gangster wa hatari hahaaa
 
Kato alikuwa rafiki wa mchizi wake na big syke, alitambulishwa kwa tupac na big syke akiwa na mental illness mchizi mwingine wa big syke waliokuwa pamoja kwenye kundi la evil mind gangsterz

Big syke ndio aliimba verse ya pili kwenye all eyez on me.

Kato aliuwawa wakati watu wanataka kuiba rims za gari ya big syke, rim flani hivi wamarekan kwenye gari zao wanatumia hasa wamarekani weusi zinaitwa dayton kama sikosei
James Comey
 
Ndefu nin
Nyimbo nyingi 2Pac kawaimbia wanawake hasa Single Mothers maana naye kalelewa na Single Mom.
...
And since we all came from a woman
Got our name from a woman and our game from a woman
I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women?
I think it's time to kill for our women
Time to heal our women, be real to our women
And if we don't we'll have a race of babies
That will hate the ladies, that make the babies
And since a man can't make one
He has no right to tell a woman when and where to create one
So will the real men get up
I know you're fed up ladies, but keep your head up
 
Back
Top Bottom