Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ngoja tuone. Labda CCM wameahidi kumfufua ndugu yake!Pesa inanguvu sana unaweza kusahau kila kitu. Ndiyo ya Wenje alijimaliza maneno yote lakini leo kajiunga na wale aliwaita wauawaji
===================
"Kaka yangu aliuwawa na serikali ya Ccm Mimi siwezi kujiunga na nao" Ezekiel Wenje.
Soma Pia: Ezekiel Wenje apiga chini CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM
Leo kajiunga na ccm waliomuua kaka yake kwenye uchaguzi 2020.
Msishikile mambo ya chuki..maisha yanaendelea..mbona wazee wetu waliuliwa na kuteswa na wakoloni, utu wetu ukatezwa na unaendelea kutezwa mpaka leo! Lakini hatugomi kwenda ktk nchi zao! hatuwakatai..bali trend ipo kinyume chake vijana na watu wengi kwa ujumla tunatafuta kukimbilia huko kwa wazungu! Kama lilitokea ni kosa, lakini wala hakuna chama chenye sera ya namna hio!Pesa inanguvu sana unaweza kusahau kila kitu. Ndiyo ya Wenje alijimaliza maneno yote lakini leo kajiunga na wale aliwaita wauawaji
===================
"Kaka yangu aliuwawa na serikali ya Ccm Mimi siwezi kujiunga na nao" Ezekiel Wenje.
Soma Pia: Ezekiel Wenje apiga chini CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM
Leo kajiunga na ccm waliomuua kaka yake kwenye uchaguzi 2020.
Kwamba hujaiona au una makengeza?Weka video tofauti na hapo hii ni takataka tu
USSR
Ni kweli hamna chama chenye sera hiyo, Nani aliwajibishwa kwa hilo kosa?Msishikile mambo ya chuki..maisha yanaendelea..mbona wazee wetu waliuliwa na kuteswa na wakoloni, utu wetu ukatezwa na unaendelea kutezwa mpaka leo! Lakini hatugomi kwenda ktk nchi zao! hatuwakatai..bali trend ipo kinyume chake vijana na watu wengi kwa ujumla tunatafuta kukimbilia huko kwa wazungu! Kama lilitokea ni kosa, lakini wala hakuna chama chenye sera ya namna hio!
Assume hakuna alie wajibishwa, inapunguza kipi ktk niliyosema?Ni kweli hamna chama chenye sera hiyo, Nani aliwajibishwa kwa hilo kosa?
Una ushahidi? Au maneno ya fitna tu?Wenje + Kigoma Finest + Mtuhuru = Best Trio ya Madalali wa Siasa
Una ushahidi? Au maneno ya fitna tu