Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Pesa inanguvu sana unaweza kusahau kila kitu. Ndiyo ya Wenje alijimaliza maneno yote lakini leo kajiunga na wale aliwaita wauawaji
===================
"Kaka yangu aliuwawa na serikali ya Ccm Mimi siwezi kujiunga na nao" Ezekiel Wenje.
Soma Pia: Ezekiel Wenje apiga chini CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM
Leo kajiunga na ccm waliomuua kaka yake kwenye uchaguzi 2020.