Kumbukizi ya kilichotekea uwanja wa mkapa baada ya mvua, Simba msilalamikea kuhamishiwa kucheza Zanzibar

Kumbukizi ya kilichotekea uwanja wa mkapa baada ya mvua, Simba msilalamikea kuhamishiwa kucheza Zanzibar

Kuna mdau siku ya hii mechi nilimwambia kwamba fainali haiwezi chezwa kwa Mkapa alibisha sana. Hapa ilikuwa ni aibu.
 
Hahahaa mpwaa ntarudi badae
 
Kwa sasa Dar es Salaam ni kavu siku mbili hizi na huenda mvua ndio imeshakata mazima
 
pale jangwani wenye akili ni wawili tu, si maneno yangu


Hakika mkuu.
Mashabiki wa huko wanazomea kama manyani.
Sio maneno yangu.

"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Back
Top Bottom