Kumbukizi; Yericko Nyerere asema Tundu Lissu hana hela ya kujiongoza mwenyewe. Hata miezi 2 haifiki, CHADEMA chini ya Lissu itakufa

Joined
Nov 19, 2024
Posts
94
Reaction score
307
Huo ndio utabiri wa Kada wa CHADEMA na mfuasi wa Mbowe akiwataka wajumbe kutomchagua Tundu Lissu kwani hana hata pesa ya kujiongoza mwenyewe hivyo atawezaje kukiongoza chama chenye mamilioni ya wafuasi!

Yericko anasema kuwa endapo Tundu Lissu atachaguliwa basi CHADEMA kitakufa ndani ya miezi miwili kwa kukosa pesa. Akaongeza kuwa, Freeman Mbowe ana ukwasi na ndiye aliyegharamia mkutano huo kwa zaidi ya Tsh Milioni 300.

Hayo ni maneno ya Mzee wa Pesa, Nyama na Pombe za bure kutoka kwa FAM

Pia soma >

Your browser is not able to display this video.

-
 
Kina wanachama zaidi ya mil.50 kweli
 
Ushindi wa Tundu Lissu Ni afya kwa demokrasia yetu kuwa na upinzani imara. Hii ni wake up call kwenye maeneo yote ambako haki inadhulumiwa na uwajibikaji unadorora Baada ya uchaguzi tunavunja kambi, sasa hivi Tundu Lissu ndiye tegemeo letu wote kuifanya Serikali iwajibike
 
Hawa waandishi wabongo bwana eti "mtaalamu wa ujasusi", hivi alishindwa hata kutumia akili kuona upepo wa kisiasa ulivyokua unavuma na kumshauri Mbowe vizuri?

Pia aache kutumia hilo jina la Nyerere ni impersonation wakati hana quality hata moja kuwa ukoo wa Nyerere!! Empty set kabisa
 
Kampeni ndani ya chama zimeisha Chama kimeshapata uongozi mpya.
kwa sasa wana CDM wote wana jukumu kubwa mbele yao la kuwa kitu kimoja ili kuwaongiza watanzania wote kulipambania taifa lao. Muda ni mfupi mambo ni mengi sana kufikia October.

Ukiona mtu anakuja na vi clip wakati wa kampeni leo humu basi ujue yule si mwana CDM bali ni wale among CHAWA wa mama yao.
 
Yeriko Nyerere yuko sahihi

Chadema chini ya Lofa Tundu Lisu na malofa team Lisu inakufa kwa ukata wa pesa wala sio siri

Mbowe miaka nenda rudi kwa kupenda chama alikigharimia kwa pesa zake binafsi kama hobby

Malofa team Lisu wakadhani Chadema kuna pesa nyingi

Naapa Chadema kinaenda kumfia Lisu mikononi na hadi uchaguzi mkuu unafika October Chadema itakuwa hoi bin taabani haitakuwa na nauli hata za kusafirisha wajumbe au viongozi wa kampeni hata kwa daladala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…