Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Huo ndio utabiri wa Kada wa CHADEMA na mfuasi wa Mbowe akiwataka wajumbe kutomchagua Tundu Lissu kwani hana hata pesa ya kujiongoza mwenyewe hivyo atawezaje kukiongoza chama chenye mamilioni ya wafuasi!
Yericko anasema kuwa endapo Tundu Lissu atachaguliwa basi CHADEMA kitakufa ndani ya miezi miwili kwa kukosa pesa. Akaongeza kuwa, Freeman Mbowe ana ukwasi na ndiye aliyegharamia mkutano huo kwa zaidi ya Tsh Milioni 300.
Hayo ni maneno ya Mzee wa Pesa, Nyama na Pombe za bure kutoka kwa FAM
Pia soma >
-

- Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA
- Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja
-