Kumbukizi za Kilingeni Msata: Aina mbalimbali za hirizi na makafara

Tunaendelea.. Kazi ya kufuli ni ulinzi na usalama wa vitu vyako vya thamani nyumbani ama kabatini nk.. Yaani unavifungia..
Kwenye ushirikina ni tofauti kabisa. Yaani unafungwa wewe
Uzazi
Mahusiano
Uchumi
Biashara
Kipaji
Ajira
Elimu. NK
Kila kimoja kina malighafi zake lakini kubwa ni kufuli na funguo na kamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…