Nimepita kwenye post yako hii huko fb hakika unawafuasi wengi maamuma ambao wako brainwashed... Hata fikra tunduizi hawanazo mfani wacomment zao
View attachment 3607159
Mfano hapo wanaposema skuli za misheni hazikutaifishwa.. nawe unakaa kimya hata bila kumuelewesha kwamba kuna mashule lukuki hadi leo yapo chini ya serkali kama ndanda, kigonsera, pugu, etc...
Vile unaajendanzako uzipandakizazo unashindwa wapa ukweli hao maamuma.
Bil kujua unapandikiza kwayo wao kujua kuwa shule iliyochukukiwa nihiyohiyo lumumba ya eamws