Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Wakatoliki tumeshamsamehe Gwajima kupitia toba aliyoifanya kwa kardinali Pengo!
 
Huyu jamaa ni bwege! Kichwa hakiko sawa kabisa! Sijui CCM walifikilia nini kwa mtu ambaye mambo yake yako documented. Ni mbaya sana kulazimisha kila wakati eti dini nazo ziwakilishwe kwenye bunge, ili iweje? Mbona majeshi, hayana uwakilishi?
 
CCM MATAGA wameamua mdini mmoja hivi agombee ubunge kwa niaba yao!
CCM, CHADEMA, ACT, CUF, NCCR wote hawapaswi kufanya siasa za udini wala ukabila kwa maana ni mbaya sana kwa mustakabali mwema wa Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom