Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Siwezi kuchagua mtu mpuuzi wala kampuni yake wala mkurugenzi wake!!

Mtu anayehamasisha vikundi vya kikabila na udini!!
Mtu aliyemtukana Mwadhama hadharani!
Mtu aliyemlaani RC wa Dar badala ya kumuombea!!
Aliyeahidi kumfufua Amina Chifupa bila mafanikio.
Aliyesema hawezi kukubali ubunge wala uraisi vile ni mtumishi wa Mungu!!

Sikubali!!
Kawe tukatae!
Pamoja tuseme Noooooooohh kwa huyu mbabaishaji!!
 
Kama wewe ni mkatoliki tutajie Paroko wa parokia yako, mwenyekiti wa UWAK/WAWATA wa parokia yako, Mwenyekiti wa jumuiya yako, mweka hazina wa jumuiya na katibu. Maana wakatoliki halisi tunajuana na huo msamaha ni kweli lakini umetolowa na Kardinal Pengo, lakini mtu amabaye anadiriki kuzikosea heshima taasisi kubwa kama hizi na viongozi wake huyo hafai hata kidogo kupewa uongozi.
 
Wajumbe wote wa Mabaraza ya walei nchi nzima kesho kwenye jumuiya tutapitia video hii na kuweka maazimio ya kukiadhibu chama cha huyu tapeli Gwajima pamoja na yeye mwenyewe hapo Kawe kwa matusi haya dhidi ya Roman Catholic.
 
Nikikumbuka nilivosota mafunzo ya Sunday school, mafunzo ya komunio ya kwanza, hadi kipaimara, na ilivokua mziki kukariri Nasadiki, ilivokua ngoma kusali rozali afu huyo mpuuzi aseme vibaya juhudi zangu zote hizo wala hatakiwi kuchaguliwa huyo
 
Mla kondoo walionona![emoji16][emoji16]

Gwaji Uno ataishia kupigwa za uso tu hapo kawe.
 
Naam, ni wakati muafaka kwa wana Kawe wote kusemezana kuhusu tarehe hii muhimu sana kwetu.. 👇👇👇

View attachment 1588452
Halima Mdee anatakiwa aitumie hii kwenye kulusha matangazo ya kampeni kwa njia ya redio.

Kwanini watu wa Kawe wamchague mtu ambae ana kashfu dini zingine?

Kiongozi mzuri ni yule anae unganisha jamii bila kujali dini, kabila, jinsia, au maendeleo yao, na kutafuta njia ya kuwaendeleza zaidi kupitia muungano wao.
 
Wakatoliki tumeshamsamehe Gwajima kupitia toba aliyoifanya kwa kardinali Pengo!
[/QUOTE
Sisi waislamu tunasema Gwajima hata angegombea na mbwa sisi waislamu wa Kawe tungempigia kura mbwa
Katudhalilisha na bado amaendelea kutusimanga na visima
 
Sisi watu wa kawe TUNACHOJUA tunamtaka Gwajima kwa ajili ya maendeleo ,hayo Mambo yenu mnayotuletea hatuyaelewi
 
Back
Top Bottom