Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Gwaji Boy ana wakati mgumu sana! Bado ile aliyo jirekodi mwenyewe akikata mauno na yule white kama Nyoshi El Sadat Mzee wa Ngwasuma!
Kwa Akili zako tu hzo ndogo ungepaswa kutambua kamwe mtu hawezi kufanya vile vitu akajirecord hasa mtu mwenye wazifa mkubwa kama Gwajima ukiwaza Mara mbili utagundua ile issue sio kweli ndo maana hakushitakiwa kama watu wengine Muachage chuki mda mwingne
 
Mtu mwenye PhD anaandika "ilo alikwepeki" badala ya "hilo halikwepeki" unapata mashaka kaandika yeye au kachomekewa?
Gwajima hana phd yoyote labda phd ya kucheza porn na ku fool watu wamuone mtumishi.
 
Huyu Gwajima atabaki kuwa mlezi wa familia yako muwe mnajirekodi naye chumbani ila ubunge hatumpi kura tapeli mkubwa huyu.
Hahaha kelele za nin subiri tar 28 kama we haumpendi haijalishi watu wote hawampendi chuki zako peleka kule na hawara yako
 
Hahaha unakukeraaa eeeh na atazidi kukukera maana Gwajima ndo mbunge wa Kawe penda usipendi
Katukera waumini wote wa dini ya kiislam na wakatoliki na ndiyo maana hatumpi kura ili aendelee kubaki kama mlezi wa familia yako awatafune akiwa anawarekodi.
 
Huyu Gwajima atabaki kuwa mlezi wa familia yako muwe mnajirekodi naye chumbani ila ubunge hatumpi kura tapeli mkubwa huyu.
Unakuta mtu anaongea pumba hata haishi kawe na uzuri mmoja wanaopiga kura hawapo hata huku hvyo endeleen kupiga kelele JF yeye anaendelea na kampen
 
Kwa Akili zako tu hzo ndogo ungepaswa kutambua kamwe mtu hawezi kufanya vile vitu akajirecord hasa mtu mwenye wazifa mkubwa kama Gwajima ukiwaza Mara mbili utagundua ile issue sio kweli ndo maana hakushitakiwa kama watu wengine Muachage chuki mda mwingne

Wewe jamaa kweli una mahaba na Gwajima! Yaani ile video clip ni ya Gwaji Boy kabisa na anaonekana hadharani akiyarudi mauno halafu unasema haikuwa ya kweli! Kisa hakushtakiwa!!

Halafu mbona hakina uhusiano kati ya huo wadhifa wa mtu na kujirekodi!! Kichwa cha chini kikishachanganyikiwa tu kinaweza kufanya chochote na wakati wowote ule na kwa mtu yoyote.

Yule wa kwenye ile clip ni mzee wa ufufuo na uzima. Amka kijana. Askofu wako ni pornstar. Ukiendelea kumuamini atakupeleka motoni. Huyo ni shetani aliyejivika ngozi ya kondoo.
 
Katukera waumini wote wa dini ya kiislam na wakatoliki na ndiyo maana hatumpi kura ili aendelee kubaki kama mlezi wa familia yako awatafune akiwa anawarekodi.
Amini usiamin Gwajima kushinda n lazima Devi maana mambo ya dini na chama ni vitu tofauti kila mtu akiwa kansan kwake anapigia debe mbona waislamu wanatuita sisi makafiri na kwao n thawabu kubwa kumbadilisha mkristo kuwa muislam mim nilkuwa muislam n nilipobadili din nilitengwa na familia na kuonekana kama muasi hyo haijalishi aliongea nin tunachotaka wanakawe n maendeleo tu
 
Unakuta mtu anaongea pumba hata haishi kawe na uzuri mmoja wanaopiga kura hawapo hata huku hvyo endeleen kupiga kelele JF yeye anaendelea na kampen
Tarehe 28 wewe na Gwajima wako mtakimbia na kwenda kijificha kwenye lile gofu baada ya kipigo kikali kutoka kwa sisi wapiga kura.
 
Wewe jamaa kweli una mahaba na Gwajima! Yaani ile video clip ni ya Gwaji Boy kabisa na anaonekana hadharani akiyarudi mauno halafu unasema haikuwa ya kweli! Kisa hakushtakiwa!!

Halafu mbona hakina uhusiano kati ya huo wadhifa wa mtu na kujirekodi!! Kichwa cha chini kikishachanganyikiwa tu kinaweza kufanya chochote na wakati wowote ule na kwa mtu yoyote.

Yule wa kwenye ile clip ni mzee wa ufufuo na uzima. Amka kijana. Askofu wako ni pornstar. Ukiendelea kumuamini atakupeleka motoni. Huyo ni shetani aliyejivika ngozi ya kondoo.
Hapana hatakama uwe vipi huwezi fanya kitu kama hicho au wewe unajirecord nini maana uko kama ulikuwepo vile
 
Back
Top Bottom