Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona topic zako zinajirudia ukiona hivyo juwa kiwa huna jipya duniani na ahela mbora ukuf...
Tafiti PhD ya elimu ya dini upande wa haya madhehebu ya kilokole, utatumia. Muulizi degree ya kwanza alichukulia wapi, acha hiyo ya pili.Mtu mwenye PhD anaandika "ilo alikwepeki" badala ya "hilo halikwepeki" unapata mashaka kaandika yeye au kachomekewa?
Gwajima ni mkabila amechochea watu wa kabila lake wamuunge mkono jiwe. Gwajima ana kashfa kubwa kubwa. Amewatukana waislamu na wakatoliki vibaya sana.Mshikamano wenu na Nani? Acha kuwasemea watu wewe
Uwezi nihukumu mim kamwe we mwenyewe hujui utaenda wapi acha ufala kila mmoja anahaki ya kuamin chochote kile we mwenyewee unafanya maovu mangapi au kwavile hayako hadharaniDah! Nakusikitikia Nondo mla Watu! Una kila dalili ya kwenda motoni baada tu ya kuimaliza safari yako hapa duniani, kwa hiki kitendo chako tu cha kumuamini mtu muongo, mzinzi, mla kondoo wake na mjanja mjanja kama Gwaji Boy.
Ndyo n fake we unaweza jirecord ukifanya Yale mambo kama wewe huwezi basi utakuwa umepata jibuNa hiyo video ni fake?
Kwa ninavyomfahamu yule jamaa hawezi shindwa kirahisi we subiri tu uoneHapana aisee huyu kunguru hajatusaidia chochote zaidi ya kutukuna dini zetu na ushahidi wa video tunao na jana kwenye jumuiya zote zilizofanyika Kawe tumeijadili hii video kama tulivyoelekezwa na wajumbe wa baraza la walei na tumeamua huyu shetani hatumpi kura na tunahakikisha Halima anapata kura za kutosha.
Kumshinda Gwajima ni kumshinda shetani.
Sishangai watu kumponda Gwajima haijaanza kwake hata Yesu alikataliwa na nakudharauliwaHapana aisee huyu kunguru hajatusaidia chochote zaidi ya kutukuna dini zetu na ushahidi wa video tunao na jana kwenye jumuiya zote zilizofanyika Kawe tumeijadili hii video kama tulivyoelekezwa na wajumbe wa baraza la walei na tumeamua huyu shetani hatumpi kura na tunahakikisha Halima anapata kura za kutosha.
Kumshinda Gwajima ni kumshinda shetani.
We kwel unatumia matako kufikiri Bi kidude n mtu aliyeheshimika hapa Tanzania Gwajima alitumia jina hilo kumpa Heshima kwasababu yeye alimzarau na kumuita mrembo Gwajima hakutaka kumchafua ndo maana akamwita basi kama unasema Gwajima kawadharau wanawake n wazi kuwa Halima hafai kabsa hata kwenye nafasi ya heshima ya mwanamkeMtumishi gani wa Mungu anayedharau wanawake...hafai kuwa kiongozi...kumuita Halima Bi.Kidude ni ishara ya kudharau wanawake wote hadi mkewe , mama yake,waumini wake na wana Kawe....
Unampenda wewe na familia yako ila wenye akili timamu hawawezi mpigia kuraHahaha kelele za nin subiri tar 28 kama we haumpendi haijalishi watu wote hawampendi chuki zako peleka kule na hawara yako
Umeshalishwa mavi siwez bishana na mtu ambaye Hana Akili timamuUnampenda wewe na familia yako ila wenye akili timamu hawawezi mpigia kura
Jana nikiwa kwenye Jumuiya Makongo Juu nilimuonyesha Paroko hii video ya Gwajima akitukuna dini zingine alipandisha pressure hadi nikajuta kwa nini nimeplay hii video kwenye jumuiya.Sishangai watu kumponda Gwajima haijaanza kwake hata Yesu alikataliwa na nakudharauliwa
Umeshalishwa mavi siwez bishana na mtu
Wenye akili timamu wote tunamkataa huyo tapeli gwaji B.Umeshalishwa mavi siwez bishana na mtu ambaye Hana Akili timamu
Nani atazidhibiti?Siasa za udini za ukabila zitakuja kuligharimu sana taifa hili kama hazitadhibitiwa mapema.
Mark my words!
Naambiwa ndani ya kile kitengo kuna upare umeingia na kule kwa wale wazee wa nyota mabegani usukuma ni mkubwaSiasa za udini za ukabila zitakuja kuligharimu sana taifa hili kama hazitadhibitiwa mapema.
Mark my words!
nomaaa [emoji3]“To Forgive terrorists is up to God, to send them to him is up to me" Vladimir Putin
Gwajima ana MUNGU lazima ashinde hilo halina mjadalaWenye akili timamu wote tunamkataa huyo tapeli gwaji B.
Huyu ni Mungu gani ambaye anachangamana na mashetani wakati rusufel alimbwaga duniani kwa ushetani wake.Gwajima ana MUNGU lazima ashinde hilo halina mjadala