Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

Mtumishi gani wa Mungu anayedharau wanawake...hafai kuwa kiongozi...kumuita Halima Bi.Kidude ni ishara ya kudharau wanawake wote hadi mkewe , mama yake,waumini wake na wana Kawe....
 
Mtu mwenye PhD anaandika "ilo alikwepeki" badala ya "hilo halikwepeki" unapata mashaka kaandika yeye au kachomekewa?
Tafiti PhD ya elimu ya dini upande wa haya madhehebu ya kilokole, utatumia. Muulizi degree ya kwanza alichukulia wapi, acha hiyo ya pili.
 
Mshikamano wenu na Nani? Acha kuwasemea watu wewe
Gwajima ni mkabila amechochea watu wa kabila lake wamuunge mkono jiwe. Gwajima ana kashfa kubwa kubwa. Amewatukana waislamu na wakatoliki vibaya sana.
 
Dah! Nakusikitikia Nondo mla Watu! Una kila dalili ya kwenda motoni baada tu ya kuimaliza safari yako hapa duniani, kwa hiki kitendo chako tu cha kumuamini mtu muongo, mzinzi, mla kondoo wake na mjanja mjanja kama Gwaji Boy.
Uwezi nihukumu mim kamwe we mwenyewe hujui utaenda wapi acha ufala kila mmoja anahaki ya kuamin chochote kile we mwenyewee unafanya maovu mangapi au kwavile hayako hadharani
 
Hapana aisee huyu kunguru hajatusaidia chochote zaidi ya kutukuna dini zetu na ushahidi wa video tunao na jana kwenye jumuiya zote zilizofanyika Kawe tumeijadili hii video kama tulivyoelekezwa na wajumbe wa baraza la walei na tumeamua huyu shetani hatumpi kura na tunahakikisha Halima anapata kura za kutosha.

Kumshinda Gwajima ni kumshinda shetani.
Kwa ninavyomfahamu yule jamaa hawezi shindwa kirahisi we subiri tu uone
 
Hapana aisee huyu kunguru hajatusaidia chochote zaidi ya kutukuna dini zetu na ushahidi wa video tunao na jana kwenye jumuiya zote zilizofanyika Kawe tumeijadili hii video kama tulivyoelekezwa na wajumbe wa baraza la walei na tumeamua huyu shetani hatumpi kura na tunahakikisha Halima anapata kura za kutosha.

Kumshinda Gwajima ni kumshinda shetani.
Sishangai watu kumponda Gwajima haijaanza kwake hata Yesu alikataliwa na nakudharauliwa
 
Mtumishi gani wa Mungu anayedharau wanawake...hafai kuwa kiongozi...kumuita Halima Bi.Kidude ni ishara ya kudharau wanawake wote hadi mkewe , mama yake,waumini wake na wana Kawe....
We kwel unatumia matako kufikiri Bi kidude n mtu aliyeheshimika hapa Tanzania Gwajima alitumia jina hilo kumpa Heshima kwasababu yeye alimzarau na kumuita mrembo Gwajima hakutaka kumchafua ndo maana akamwita basi kama unasema Gwajima kawadharau wanawake n wazi kuwa Halima hafai kabsa hata kwenye nafasi ya heshima ya mwanamke
 
Hahaha kelele za nin subiri tar 28 kama we haumpendi haijalishi watu wote hawampendi chuki zako peleka kule na hawara yako
Unampenda wewe na familia yako ila wenye akili timamu hawawezi mpigia kura
 
Endeleen kupiga kelele yeye anasonga mbele
 
Sishangai watu kumponda Gwajima haijaanza kwake hata Yesu alikataliwa na nakudharauliwa
Jana nikiwa kwenye Jumuiya Makongo Juu nilimuonyesha Paroko hii video ya Gwajima akitukuna dini zingine alipandisha pressure hadi nikajuta kwa nini nimeplay hii video kwenye jumuiya.
 
Hii dini ya nabii wa uongo ndiyo ilimshawishi gwajiz kutafuna kondoo wanaopatikana kwenye madhabahu, ama?
 
Back
Top Bottom