Kumbukumbu; Leah Ulaya, Maganga Walivyogomea uteuzi wa Rais kisa CWT

Peter Mwaihola

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
289
Reaction score
489
Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa Rais hakwenda kituo cha kazi alichoteuliwa.

Sambamba na uteuzi huo Rais pia alimteua aliyekuwa wa Katibu mkuu wa CWT Japhet Maganga kuwa Mkuu wa wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera hata hivyo Maganga nae aligomea uteuzi huo akidai kuwa majukumu ya CWT yanamtosha.

Ilipofika Disemba 2023, Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Temeke wakati huo, Elihuruma Mabelya chini ya Tume ya utumishi wa waalimu alitangaza kumsimamisha kazi Maganga kwa tuhuma ya utoro kazini.

Maganga alikuwa Mwalimu wa shule ya msingi Tandika iliyopo jijini Dar es Salaam.

Wakiwa Viongozi wa CWT, Leah Ulaya na Japhet Maganga kwa pamoja walituhumiwa kutumia zaidi ya Tsh Bilioni 7 katika maandalizi ya maadhimisho ya sherehe ya siku ya walimu duniani yaliyopangwa kufanyika Disemba 13, 2023 Jijini Mwanza.

Wanachama wa CWT walilalamika kuhusu matumizi mabaya ya fedha za chama huku wakienda mbali kwa kuwatuhumu viongozi hao kushindwa kukiendesha chama kwa kuchochea migogoro.

Juni, 10, 2025 Leah Ulaya ameshindwa kutetea kiti cha Urais wa CWT dhidi ya aliyekuwa makamu wake Suleiman Ikomba aliyepata kura 608 dhidi ya kura 260 alizozipata Leah.
Photo_1749551154113.png
 
Hata mimi ningekataa. Package ya CWT kwa top 3 sio pesa ya kitoto, mazee.
 
Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa Rais hakwenda kituo cha kazi alichoteuliwa.

Sambamba na uteuzi huo Rais pia alimteua aliyekuwa wa Katibu mkuu wa CWT Japhet Maganga kuwa Mkuu wa wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera hata hivyo Maganga nae aligomea uteuzi huo akidai kuwa majukumu ya CWT yanamtosha.

Ilipofika Disemba 2023, Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Temeke wakati huo, Elihuruma Mabelya chini ya Tume ya utumishi wa waalimu alitangaza kumsimamisha kazi Maganga kwa tuhuma ya utoro kazini.

Maganga alikuwa Mwalimu wa shule ya msingi Tandika iliyopo jijini Dar es Salaam.

Wakiwa Viongozi wa CWT, Leah Ulaya na Japhet Maganga kwa pamoja walituhumiwa kutumia zaidi ya Tsh Bilioni 7 katika maandalizi ya maadhimisho ya sherehe ya siku ya walimu duniani yaliyopangwa kufanyika Disemba 13, 2023 Jijini Mwanza.

Wanachama wa CWT walilalamika kuhusu matumizi mabaya ya fedha za chama huku wakienda mbali kwa kuwatuhumu viongozi hao kushindwa kukiendesha chama kwa kuchochea migogoro.

Juni, 10, 2025 Leah Ulaya ameshindwa kutetea kiti cha Urais wa CWT dhidi ya aliyekuwa makamu wake Suleiman Ikomba aliyepata kura 608 dhidi ya kura 260 alizozipata Leah.View attachment 3363125
IMG-20250610-WA0015.jpg
 
Kwahiyo tufanyeje
 
Back
Top Bottom