Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Pole sana jipe moyo hilo nalo litapita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubinafsi huo vipi?!Kuna wanaume wabinafsi sasa wewe upo kumfuja dada wa watu halafu akiolewa ulie[emoji44]kah!!
Huo huo huuoni weweUbinafsi huo vipi?!
Haina formula bossOne day atakuja tu hawana trending nzuri wanawake wa hvyo.
Pole sana.Bora ata ww kakwambia ukweli.
Mm hatukugombana ila aliniaga anaenda kwao maana life la kuishi kwa dingi yake mdogo amechoka. Baada akaniambia sim mbovu baada ya mda nikapata namba ya mdogo ake kutoka kwa rafiki yake.
Mda wote nikawa mawasiliana nae ananiambia yupo kwao (ukerewe) na hana mpango wa kurudi town (mwanza) kidume nikaanza kusaka sehem pakujishikisha. Kila nilichokuwa nafanya nilikuwa najiapiza nikifanikisha tu lazma nimuite tuje tuishi wote.
Mwisho wa siku nakuja kupata taarifa kuwa sahiv yupo analea na ameolewa na mbaya zaid yupo mwanza na sio kwao kama alivyokuwa ananiaminisha.
Nilijaribu kupeleleza kwa rafiki zake na pamoja na mdogo wake wakanihakikishia ni kweli ameolewa na yeye ndio aliwambia wasiniambie kama kaolewa na yupo town humu humu na namba kabadirisha sio kwamba sim yake ni mbovu. Aisee niliumia ila nilikubari matokeo nikafuta namba zao maisha yakaendelea.
Kuna mda lazma ujifunze kuacha mambo yapite sio kila mtu uliyenae leo ndio utakae zikwa nae
Pole na hongera kumovs onBora ata ww kakwambia ukweli.

bravoBora ata ww kakwambia ukweli.

Pole sana.
Àsante. Nimeisha zoea maana sio wa kwanza kumpoteza na huwa naamin kama nimepoteza kitu ninachokipenda bas kipo bora zaidi Mungu kaniandalia ni vile tu mda wake bado haujafika.Pole na hongera kumovs on
Kabisa mkuuu,haya mambo ukiyaendekeza utakufa [emoji1] [emoji1787]Bora ata ww kakwambia ukweli.
Mm hatukugombana ila aliniaga anaenda kwao maana life la kuishi kwa dingi yake mdogo amechoka. Baada akaniambia sim mbovu baada ya mda nikapata namba ya mdogo ake kutoka kwa rafiki yake.
Mda wote nikawa mawasiliana nae ananiambia yupo kwao (ukerewe) na hana mpango wa kurudi town (mwanza) kidume nikaanza kusaka sehem pakujishikisha. Kila nilichokuwa nafanya nilikuwa najiapiza nikifanikisha tu lazma nimuite tuje tuishi wote.
Mwisho wa siku nakuja kupata taarifa kuwa sahiv yupo analea na ameolewa na mbaya zaid yupo mwanza na sio kwao kama alivyokuwa ananiaminisha.
Nilijaribu kupeleleza kwa rafiki zake na pamoja na mdogo wake wakanihakikishia ni kweli ameolewa na yeye ndio aliwambia wasiniambie kama kaolewa na yupo town humu humu na namba kabadirisha sio kwamba sim yake ni mbovu. Aisee niliumia ila nilikubari matokeo nikafuta namba zao maisha yakaendelea.
Kuna mda lazma ujifunze kuacha mambo yapite sio kila mtu uliyenae leo ndio utakae zikwa nae
Mm mwili wangu mpaka neno kupenda ushakufa ganzi,yaan kupenda siwezi kabisa ingawaje nina mkeÀsante. Nimeisha zoea maana sio wa kwanza kumpoteza na huwa naamin kama nimepoteza kitu ninachokipenda bas kipo bora zaidi Mungu kaniandalia ni vile tu mda wake bado haujafika.
Usiseme hvyo. Wewe mpende tu tena onesha unampenda unapokuwa nae siku akitaka kuondoka na ww upendo wako kwake unausitishaMm mwili wangu mpaka neno kupenda ushakufa ganzi,yaan kupenda siwezi kabisa ingawaje nina mke
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Alikuona huelekei my be tantalila zilikuwa mingi!Bora ata ww kakwambia ukweli.
Mm hatukugombana ila aliniaga anaenda kwao maana life la kuishi kwa dingi yake mdogo amechoka. Baada akaniambia sim mbovu baada ya mda nikapata namba ya mdogo ake kutoka kwa rafiki yake.
Mda wote nikawa mawasiliana nae ananiambia yupo kwao (ukerewe) na hana mpango wa kurudi town (mwanza) kidume nikaanza kusaka sehem pakujishikisha. Kila nilichokuwa nafanya nilikuwa najiapiza nikifanikisha tu lazma nimuite tuje tuishi wote.
Mwisho wa siku nakuja kupata taarifa kuwa sahiv yupo analea na ameolewa na mbaya zaid yupo mwanza na sio kwao kama alivyokuwa ananiaminisha.
Nilijaribu kupeleleza kwa rafiki zake na pamoja na mdogo wake wakanihakikishia ni kweli ameolewa na yeye ndio aliwambia wasiniambie kama kaolewa na yupo town humu humu na namba kabadirisha sio kwamba sim yake ni mbovu. Aisee niliumia ila nilikubari matokeo nikafuta namba zao maisha yakaendelea.
Kuna mda lazma ujifunze kuacha mambo yapite sio kila mtu uliyenae leo ndio utakae zikwa nae
Labda. Lakin mm najua sikuwa mtu wa chenga chenga na ata plan zangu binafsi nilikuwa namhusisha ni vile tu yeye aliamua kuwa na harakaAlikuona huelekei my be tantalila zilikuwa mingi!