Kumbukumbu mbaya za mapenzi: Mpenzi wangu kuchumbiwa na Mwanaume mwingine

Kumbukumbu mbaya za mapenzi: Mpenzi wangu kuchumbiwa na Mwanaume mwingine

Kischo rzki hakiliki, na pia kama lengo n kuwa kwny mahusiano kisha muoane bas muwekane waz s kufujana tuuu.

Mwanaume s kama mwanamke, kuna kipind anahtaj kuwa na familia kama aliyenaye hana muelekeo bas akimpata mwny uelekeo c mbaya kumwendea.
 
Dah! Kama ni kufujana, basi mim na mtu wangu tumefujana. 3yrs in relationship mwanaume hazungumzi chochote kuhusiana na malengo yake kwangu, hata kwa utani tu hajawah!. Nikaona isiwe kesi, ngj niachie ngazi pengine sio fungu langu. Though nlimpenda kweli lkn wacha ni “move on”. Kuna stage fulan ya Mahusiano ikifika, wanaume wanapaswa kuwaweka wazi wanawake zao kuhusu suala la ndoa
 
Nikiwa sina hili wala lile kwa siku hii iliyoanza vyema kuliko ilivyokuwa kwa siku mbili nyuma ambazo kiukweli ni ngumu kuzielezea lakini itoshe kusema zilikuwa mbaya sana. Asbuhi ikakucha huku ikionesha utofauti si unafahamu kuwa siku njema uonekana asbuhi basi na mimi niliweza kuiona kuwa siku hii ni njema kwa asbuhi ile.
Hapo sababu ya kuachwa ni kwamba haukua na hili wala lile😀
 
Back
Top Bottom