Dah! Kama ni kufujana, basi mim na mtu wangu tumefujana. 3yrs in relationship mwanaume hazungumzi chochote kuhusiana na malengo yake kwangu, hata kwa utani tu hajawah!. Nikaona isiwe kesi, ngj niachie ngazi pengine sio fungu langu. Though nlimpenda kweli lkn wacha ni “move on”. Kuna stage fulan ya Mahusiano ikifika, wanaume wanapaswa kuwaweka wazi wanawake zao kuhusu suala la ndoa
Nikiwa sina hili wala lile kwa siku hii iliyoanza vyema kuliko ilivyokuwa kwa siku mbili nyuma ambazo kiukweli ni ngumu kuzielezea lakini itoshe kusema zilikuwa mbaya sana. Asbuhi ikakucha huku ikionesha utofauti si unafahamu kuwa siku njema uonekana asbuhi basi na mimi niliweza kuiona kuwa siku hii ni njema kwa asbuhi ile.